Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

KANITUMIA DETAILS ZAKE ZOTE, JE, NAWEZA KUMUOMBEA KOZI? NA PALE KWENYE KULIPIA KWA M-pesa NAWEZA KUTUMIA NAMBA YANGU?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wana Jamvi. Naombeni Mnishauri Nipangeje kozi Zangu Ili Nifanikiwe Kuinasa Medicine. Mpangilio Nilio Upanga Uko Kama Ifuatavyo >Kairuki >IMTU >Kampala UfaUlu Wangu Ni Division Three Phy...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING IN DSM :- June 27&28 Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale walio pata udahili mwaka wa masomo 2014/2015 na wakashindwa kufika kulingana na sababu moja ama nyingine mwaka huu TCU imetia ngumu kuomba kudahiliwa mara ya pili.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari zenu? Samahani kwa yeyote anaejua kiasi cha ada kwa postgraduate ya education na muda wa kuanza kwa kozi katika chuo chochote hapa Tanzania anisaidie. Ahsanteni!
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wadau hivi hizo course za diploma za afya hapo udom kama pharmacy na nursing wanatoa mkopo? naombeni msaada kwa anae jua
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari za muda wakuu! Kama inavyofahamika kuwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni miongoni mwa vyuo vikuu vikongwe hapa Afrika Mashariki na pengine Afrika,hivyo miundombinu yake ya kukidhi mahitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu watanzania kwa wale ambao mlikuwa mnafikiria kujiunga na chuo kikuu cha Kampala international university ni bora uondoe hayo mawazo maana mimi ni mwanafunzi wa hiko chuo. Hiki chuo kwanza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ni baada ya wanafunzi wa kozi za afya kufanya mgomo uliodumu kwa siku 5, serikali yakiri kufanya uzembe ni baada ya kukutana na wanafunzi hao na kuwaomba kutulia kwa muda wa wiki mbili ambazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu.naomba kuuliza km kuna chuo tyr wanao huo waraka wa kozi ya mwaka1 ya medical attendat.na mashart yakoje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau Udom walitoa tangazo lakutuma maombi ya diploma za sayansi kama vile diploma in pharmacy and Nursing pamoja diploma ya education. sasa ninapo jaza form za mkopo online kuna sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Now we can process admission for Fall 2015 just find me in skype alex.john.luketa in my number +15712449300 in this number you can get me in whatsapp,Tango,viber and also in my email alex@viu.edu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Eti kuna tetesi kuwa muudo wa ukaguzi wa shule utabadilika kuanzia julai mosi,ukaguzi hatokuwa kwenye kanda tena bali ukaguzi utaanzia kwenye wilaya mpka kwenye kata,kutakuwa na wakaguzi wa shule...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimekutana na swali hili 'what are relation between public policy and democracy, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wakunipa point zinazohusiana na hiyo anisaidie!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mm ni mwanafunzi mwaka wa tatu (sokoine university) nahitaji kufahamu uingiapo kazini loan board huwa wanakata kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukianza kukifikilia chuo kikuu cha kampala international university unaweza ukaumwa kichwa kwa maana hawa waganda wanatak kuhalibu elimu ya Tanzania huku serikali yetu ikiangalia tuu, mfano first...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa wale wanaotaka kujinga na elimu ya juu mwaka wa masomo 2015/16 kwa kozi za afya naomba niwape ushaur wa bureeee kwa ambaye atakuwa tayar ataufuata kama huamin nitakacho kisema jaribu kufatilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wana jf! kwa anayejua ni tarehe ngapi vibali vya june 2015 vitatoka afunguke hapa....asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mungu ashukuriwe sasa hivi chuo kimeanza kufanana na vyuo vingine, many things are ok now!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
KUANZISHWA KWA FANI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa - SEKOMU (zamani SEKUCo) kilichopo Lushoto, anakaribisha maombi ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…