Wadau wa JF kuna hili la usajili wa wanafunzi katika mfumo wa TCU
1. Hivi deadline ya kujisajili kwa form 6 waliomaliza 2015 ni lini? maana kwenye tangazo naona ile ya wale wa kurudi 2014
2...
Naomba kuuliza wadau,hivi hakuna taasisi nyingine za kutoa mikopo ya elimuya juu kwa vijana zaidi ya hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu?,kwa masharti yanayolingana na yale ya hii bodi ya mikopo?
ndugu naomba kufahamishwa hivi ratiba ya usajili wa veta na kuanza masomo ni mmoja kwa mikoa yote Na kama ndiyo je usajili unafanyika miezi ipi na wanaanza kusoma lini??
naomba kujuzwa wadau
Habari wakuu
wewe ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kusoma nje ya nchi?
umemaliza kidato cha sita na unataka kujiunga na elimu ya juu nje ya nchi?
umemaliza form four ila unataka kusoma...
HAYA NDO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014/2015
Wasichana Wote ====> herufi A mpaka Z
http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/form-five-selection-2014/WASICHANA-SHULE-ZOTE.pdf...
Nimesoma hiki kitabu kipya cha TCU mwaka 2015 na nimeona kitu fulani ambacho sikuwahi kukiona kabla kuwa sasa mtu kozi hizo tajwa hapo juu kwa lever ya degree ni kwamba atatakiwa na angalau pass...
Wilaya ya Mbozi wananchi tunaonewa sana, Sehemu nyingine hawachangii Mwenge lakini sisi tunalazimishwa. Agizo kutoka Halmashauri ya Wilaya, ni kuwa kila Mwalimu achangie Elfu tatu (30,00) Kwaajili...
Hivi hii serikali yetu inajali sekta ya elimu kweli,yapo mengi lakini kwa leo nazungumzia kuhusu SELECTIONs ZA WADOGO ZETU Wanaotarajia kuingia kidato cha 5 Julai mwaka huu.Yaani hadi leo...
Jamani wandugu nisaidieni mawazo nimemaliza form six 2008 na kupata E mbili na S,Nikaenda diploma nikapata GPA ya 2.7 sasa nataka kwenda chuo nitumie cheti kipi?
Wadau naomba msaada wenu wa vyuo vinavyotoa Advance Diploma katika taaluma yoyote ambavyo vimesajiliwa na NACTE na muda wa kozi wanazotoa. Nitafurahi kama mtanitajia vilivyo katika mkoa wa Dsm
Msaada jamani ndugu yangu leo alikua anafanya application kwaajili ya chuo but alipoanza kujaza ile form ile kataaa kwani wamedai alisha wahi kuomba vyuo.Kulipia amesha lipia na chuo aliomba kweli...
Habari,
Mie ni mdaiwa wa bodi ya mkopo nilikua naomba kupata maelekezo kuhusu upigaji upya wa mahesabu wa tunaodaiwa na Loan Board, kiukweli nilipata shida sana ambapo siku ya alhamis nilifika...
habari ndugu zangu, nimemaliza chuo kikuu mzumbe so niko ktk michakato ya kutafuta scholarship ulaya, hasa Norway ma France. naomba msaada kwa yeyote mwenye knowledge na hivi vitu, je GPA...
Mimi ni Mdau wa Elimu manispaa ya Ilala.Tupo watu watatu tupo ktk mkakati wa kuanzisha kambi ya wanafunzi kidato cha NNE wanaojiandaa na mitihani mwezi November tunataka kuwaweka vijana top ten...
This program is our flagship summer program aimed at providing participants with specialized knowledge in business management and entrepreneurship. It is directed towards those who are new to...