Wadau naomba mnisaidie majina ya vyuo vinavyotoa diploma ya journalism hapa Tanzania coz kila niki-google nachemsha.
Mkinisaidia vilivyoko dar es salaam ntashukuru zaidi
Habar wana JF!
Nnauliza kwa mtu aliyepata chuo mwaka jana lakini hakwenda kuripoti inasemekana ili aweze kuomba mwaka huu lazima aandike barua, je ni kweli?
Na barua unaambatanisha na nini?
Serikali kupitia wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi iko mbioni kuwafukuza kazi maafisa sita wa ngazi za juu wa tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU). Kutokana na uzembe uliofanyw kupeleka wanafunzi...
Nataka kujua hiki chuo kila mwaka wanafunzi hasa wa education hucheleweshewa hela yao na wanapogoma wanafukuzwa na serikali haisemi kitu.
Je, ni kweli kwamba kuna wakubwa wanahisa zao kwenye...
Habari zenu wakuu!
Licha ya academic certificates, transcripts, CV, statement of purpose na recommandation letters, hati ya kusafiria (passport) nayo inahitajika kama attachment katika maombi ya...
Habari za kazi wakuu!
Nahitaji sehemu ya kuwa nafanyia mambo yangu ambayo ina mazingira ya library, mwenye kufahamu hizo sehemu kwa Dar es Salaam anifahamishe.
Natanguliza shukrani!
Wakuu kwa wale wote wenye uelewa wa shule hizo naomba kujua ubora na udhaifu wa hizo shule mana kuna mtoto wa dada anatarajiwa kuanza kidato cha 5 hapo badae mwezi wa 7 hivyo nahitaji kujua...
Naomba msaada wakuu ivi wanaojiunga na vyuo vikuu mwaka huu 2015 walisha anza application?.
Maana kuna chalii wangu kamaliza form six mwaka juzi na mwaka huu anataka kujiunga na chuo kikuu.Kama...
Mambo yamekuwa mambo, kampala hapatoshi....!,baada ya ustaarabu na uvumilivu mwingi sasa kauli ya MH. Pinda ya kwamba "WAPIGWE TU" yatekelezwa,polisi watumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha...
Mamlaka husika katika uwekaji wa kumbukumbu za watumishi zake hasa upandaji wa vyeo/madaraja ni wa ovyo na tuna mashaka na watendaji wake kama kweli wanazingatia taratibu husika kwa mtumishi...
Wakuu kuna jamaa ameshatuma form yake ya maombi ya mkopo heslb lakini pale kwenye certification by local gvt leaders waliandika tu majina yao,sahihi,tarehe na muhuri wa ofisi wala hawakukata pale...
Habari
Naomba kufahamishwa wapi nitapata vitabu vya account kwa jili ya kufanya mitihani ya CPA. Pia kama kuna mtu ana vitabu vya account vilivyo katika soft copy tusaidiane.
Thanks
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB. Je, kutakuwa na effect yoyote endapo ntakapoomba TCU na kuweka kozi ya Ualimu mwishoni. Nasikia hata kama ukipata division One ukijaza Education...
Za siku nyingi wana JF.Naomba msaada wa kujuzwa tatizo linalonikabili la kukwama katika baadhi ya hatua za kufuata wakati ninapolipia maombi ya Mkopo kwa njia ya M-Pesa.
Natanguliza shukrani zangu.
Je umeteseka kutafuta wa kubadilisha ? Je unataka kuhamia kwenu? Je mkeo yupo mbali nawe ? Sasa ni wakati wako kufurahia kazi ukiwa na mazingira utakayo wasiliana nami kwa kupiga simu ktk...