Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

natafuta chuo ambacho nitajifunza computer corse,ambacho kinapatikana moshi na chenye gharama mafuu,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Jamani kijana wenu nafanya mpango wa ku-Apply chuo kwa mwaka huu wa 2015/2016. Nimekaa chini na kufikiri baada ya kufanya ka-research kidogo nikaja na mpangilio huu... 1...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
jamani tunaombeni msaada wa maelekezo jinc ya kuandika barua kwa tcu kwa wale ambao tulichaguliwa vyuoni mwaka jana na kushindwa kulipot kwa sababu mbalimbali ijapokuwa hatukulipoti kwenye vyuo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
najarib kufanya tafti juu ya effective applications of newly enacted labor laws in Tz, specifically in public sector ili kuona ni kwa kiasi gani zimefikia malengo ya kutungwa kwake na pia zimeleta...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Habarini wadau naulizia vyuo vizuri vinavyotoa Course ya Graphic Designing kwa Dar es salaam hasa kwa package za Adobe au hata nyingine km ni nzuri zaidi ya adobe na gharama za course zenyewe au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Nina shida na namba ya mkuu aliyetajwa hapo juu. Nataka kumpeleka ndugu yangu hapo hivyo nataka nifanye nae mawasiliano nijue cost zake. Asante
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Tunatoa mafunzo ya computer Kama ACCOUNTING (sage,Tally,quickbook)NETWORKING, WEB DESIGNING ,GRAPHIC DESIGNING ,VIDEO EDITING kwa bei poa tunapatikana Karibu na Temeke Hospital .karibu
1 Reactions
3 Replies
746 Views
Hatimae serikali imetoa kauli kuhusu walimu wapya ambao hawajapata salary yao ya mwez 5. Swali liliulizwa na Mh. Rage mbuge wa Tabora mjini akitaka kauli ya serikali kuhusu walimu wapya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ACCOUNTING PACKAGES TRAINING GLOBAL BUSINESS CONSULTANCY (GBC) Do you aspire to become a good accountant equipped with the knowledge of Computerized Accounting? If yes, the Global Business...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman Wana Jf Kwa Aliyebahatika Kusikiliza Hotuba Ya Waziri Wa Elim Siku Ya Maadhimisho Ya Elim Mwaka Huu Yaliyofanyika Dodoma! Je? Nikweli Kwamba Wazili Alitangaza Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Anyone who have a clear answer on that question
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi all!Baada ya kusoma thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/376724-2012-the-year-in-books-your-top-ten-list.html nimegundua kua kuna watu wamesoma vitabu nilivyo...
37 Reactions
68 Replies
10K Views
Ndugu wana JF mwenye uelewa msaada jamani na chuo ambacho nilipangwa sikusajiliwa.Je itaasiri uombaji wa chuo mwaka huu TCU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habari zenu Nimepewa taarifa na rafiki yangu kuwa wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu watajiunga na JKT soon. Je, habari hizi ni za kweli? Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Kwanza kabisa mimi ni member mpya.Leo kuna mtu kaniambia wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu (mei 2015) watajiunga na JKT. Je, taarifa hizi zina ukweli wadau?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habar wana JF, nauliza vigezo wanazotumia kudahili wanafunz katika chuo husika, kuanzia chaguo la kwanza mpaka la mwisho
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza, kwasasa nipo mwaka wa kwanza open university nasoma, ba-natural resource assessment and management (ba-nram) naomba kujua kwa wajuzi nikiomba mkopo kwa mwaka wa pili kwa...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Wana JF, Mimi nimemaliza kidato cha nne Shule ya day nmefaulu vizuri nangojea post 2, ila ninao Ugonjwa wa kutokusoma bila kutumia simu yangu, nikishindwa kitu kidogo tu ninagoogle kiukweli simu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilimaliza mwaka 2009 , Je! Kwa ufaulu huo naweza pata chuo gani degree kozi ya civil, electrical au mechanic engineering?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wadau kwanza kabisa mimi ni member mpya.leo kunamtu kaniambia wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu(mei 2015)watajiunga na jkt.je taarifa hizi zinaukweli wadau?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…