Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wadau? Nimekaa nakutafakari mwenendo wa serikali yetu hii tokea mwaka huu 2015 ulipoingia. Mwanzo kabisa walikuwa wakisua sua kutuajiri kwa kile kilichoelezwa kuwa serikali haina pesa za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nawezaonganisha soma dip one hapa nko certifcate ya librarianship je naweza omba kwa kutumia matokeo ya semister 1 coz bado cjamaliza semister ya mwisho nna matokeo ya semister one tu, msaada vyuo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ICT in Education cannot and should not be divorced from the larger national development strategy including schools. Nyie wadau wenzangu mnasemaje katika hili??:A S-rap:
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Hellow teachers.. Kumekuwa na vikwazo vingi vinavyowekwa na serikali hasa kipindi hiki cha uchaguzi katika suala zima la Utoaji wa ajira za walimu.. Mara utasikia walimu wa arts hawahitajiki...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
jamany nisaidieni ipi mzury Nina certificate ya HR
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, naomba kujua mtu yeyote anaejua kuhusu Recognition of Prior Learning (RPL) Examination kwa upande wa education
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Habarin Wakuu... naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa(mjin)...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Bachelor of science in Education, na Bachelor of science with Education zina tofautii gani?
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Habari zenu wapendwa... Baada ya grade mpya kuanzishwa mwaka 2014 vijana wengi walijikuta wakipata E kwenye masomo muhimu katika combination...mfano history na physics.Serikali haikutoa waraka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu daraja 3a nataman kupanua wigo wa elimu yangu lakini sijatimiza sharit la kupewa ruhusa kwenda kusoma.nimesikia kuna couse ya foundation ambayo naweza soma nipo kazin je cozi hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Marco Polo JAMANI NAOMBENI MSAADA, NIMETUMA 50000 NACTE KIMAKOSA LENGO LILIKUWA KUTUMA KWENDA TCU, NACTE WAMENIAMBIA NIMTAFUTE MTU ANAYETUMIA DIPLOMA KU APPLY DEGREE KUPITIA NACTE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa elimu kiukweli nacte wamewachanganya walimu walioomba kujiunga na ordinary diploma. Walioapply waliambiwa watajiunga na masomo mwez wa nane na barua zao za kuingia kwenye mpango ktk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz...
6 Reactions
201 Replies
29K Views
Habarini wadau Naomba kujuzwa iwapo mwanafunzi alirisit mtihani na kupata credit 1 na awali alivyomaliza form four alikuwa na credit 2, sasa ana vyeti viwili je inawezekana kuunganisha matokeo...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habarini Wakuu nilikuwa naomba kuuliza kwenye kujua kozi tajwa hapo juu inayotolewa UDOM zaidi inahusika na nini na mtu anaehitimu hapo anaenda kuwa nani huko kazini? Pia vipi kuhusu ajira...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Licha ya jitihada zilizofanywa na naibu waziri wa afya na mkuu wa mkoa wa Dodoma kuwatuliza wanafunzi wa kitivo cha elimu wasigome na kwamba Serikali yao sikivu itafanya kila jitihada kuhakikisha...
1 Reactions
74 Replies
14K Views
Jaman wana jukwaa naombeni msaada kwa ataeweza kupata tarehe ambapo matokeo ya kidato cha nne yalitolewa kwa miaka ifuatayo 2010,2011,2012,2013 na 2014 na pia kama ukiweza kupata hoja na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu mdogo wangu kachaguliwa stashahada ya elimu maalumu msingi chuo cha marangu. Tatizo ni kila akiomba ruhusa anaambiwa apeleke joining instrsction. Tafadhari mwenye taarifa ya link gani...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Natamani kusoma MBA(Masters of business Administration) Finance and investiment. Naomba ufafanuzi kuhusu soko la ajira au kujiajiri, changamoto zake na faida zake. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…