Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu members, naombeni ushauri wenu maana hapa nilipo nipo katika msongo wa mawazo, ni kwamba mimi nasoma chuo flani hivi, bachelor of accountancy nipo mwaka wa pili mwakani ikibidi...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
jaman naomba anayefaham wilaya ya busega mkoani simiyu anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa shirikisho LA Vyuo vikuu nchini na ambaye pia ni Rais wa Kitivo cha Elimu (college of Education) chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Leo ameponea chupuchupu baada ya kuonekana maeneo ya...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimeangalia taarifa ya ya habari ya Clouds TV saa tano hii .. Nimesikitishwa sana na darasa lililopo kichochoroni katika jimbo la mtera kwa Muheshimiwa kibajaji. Nikikumbuka vijembe vyake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya maneno yaliyonukuliwa na baadhi ya walimu ambao hawakuona majina yao kwenye orodha ya majina ya ajira awamu ya kwanza, majina yao yatatoka kuanziaa wiki la pili la mwezi wa tano...
0 Reactions
162 Replies
24K Views
Habari wadau, Leo nimeona nitumie wasaa huu kuwa msaada kwa walimu wa shule za serikali kuhusa Mambo mbalimbali yahusuyo UTUMISHI wao:- 1.Ajira 2.Kuthibitishwa kazini 3.Kupanda daraja/ cheo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
polen na majukumu kuna wachangiaji wa jukwaa hili walituletea habari kwamba jkt kwa kidato cha sita imefutwa kisheria sasa leo tunasikia habari tena kwamba madogo wanatakiwa kuripot maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
waungwana nahitaji kujiunga degree ya ualimu moja kati ya hizo nilizozitaja hapo juu,naomba kwa walio na uzoefu waniambie ipi kati ya hizo ni bora?na ipi nikimaliza naweza kufanya master ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari! Nimeskia kwamba chuo tajwa hapo juu wanatoa diploma hata kwa mwalim idara ya msingi sasa mimi inanichanganya kwakua kuna watu wanasoma hiyo kitu ila nikiwauliza baathi ya maswali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wenyewe uelewa wa course hizo hapo juu naomba anijuze tofauti zao ni nini? na pia niliskia kama ni kweli kama ukisoma bsc in education huwezi kutoka tena kwenye ualimu? i.e huwez kufanya...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Nilikuwa naomba ushauri kuhusu chuo cha afya Lugalo
0 Reactions
2 Replies
720 Views
habari wadau in this Forum, mimi ni mwanafunzi wa sheria nasoma Mwaka wa Nne chuo kimoja hapa Dar. nimepata wakati mgumu sana kuchagua nifanye masters ya nini nikimaliza chuo mwaka huu mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Nilikuwa naomba ushauri kuhusu chuo cha afya Lugalo ni kizuri au
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Habari zenu wana JF. Nilikua nahitaji kujua ni vigezo gani vitamuwezesha mtu kuendelea na kidato cha 5. Hivyo pls naomben msaada wenu.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nipo st. JOHN DODOMA nachukua BAED,cna chuki wala ubaguzi,nina upendo na uvumilivu mkubwa.KINACHOCHANGIA HAYA ni kujitambua na pia nimejifunza combat karate JKT pia kwenye chama cha karate...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
kwanza kabisa heshema kwenu. kama mada ilivo uhondo uko hivi: kwa aliyetayari usafiri bure, ada ya nyumba miez sita na ofa zngne kwa aliyetayari kubadili kituo cha kaz mi nije magu yeye aje...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Habari!Naomba mawazo yenu,Ipi ni masters nzuri kati ya hizo?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Rais wa chuo kikuu cha udaktari cha KCMC Moshi ndugu Telesphory Mula amesimamishwa masomo na uongozi wa chuo icho. Sababu za yeye kusimamishwa masomo ni kupigania maslahi ya wanafunzi hasa wale...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ada elekezi kwa vyuo vikuu nchini itatolewa lini?.Au zilikuwa mbwembwe tu. kama kichwa cha thread kinavyo sema tcu guide book imetoka mwaka wa masomo 2015/2016 ada bado zile zile ....je...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…