Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Yaani hakuna cha magazeti cjui HABARI LEO, TANZANIA DAIMA, wala ITV. Ni kwamba hii attachment imetoka TAMISEMI kabisa hadi sasa imo kwenye NOTES BOARD. Sasa najiuliza taarifa hii imecombine hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Wahanga wa ajira naomba mjipe moyo kuwa ajira watatangaza juma3 Kwa sababu leo sio siku ya kazi japokuwa walisema kuwa watazitangaza hii leo 25/4/2015
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naamin kwa walengwa wa Ajira mpk sasa kuna watu wameanza kukata tamaa. Naomba niwaambie kitu. Ktk mambo ya uongozi hasa kwny Taasisi kubwa kila jambo linafuata utaratibu na Itifaki lazma...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani tangu asubuhi niko net napitia JF, naenda TAMISEMI narudi WIZARA YA ELIMU hadi bundle limeisha, chaji imeisha ila ninachosubiria sijakiona. Ukiachana na hayo usiku umekuwa mrefu sana kila...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Nisaidieni ile formula inayoitwa CODING METHOD iliyopo katika topic ya STATISTICS inayotumika kutafuta MEAN,STANDARD DEVIATION na VARIANCE Natanguliza...
1 Reactions
35 Replies
18K Views
ajira uuuuuuuuuuuh
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Naomba ushauri mfuko bora wa pensheni kwa walimu watarajiwa ni upi?
0 Reactions
51 Replies
12K Views
wanajamvi naomba kuuliza kuwa ni account ya Benki gani mwalimu mpya anapaswa kuwa nayo, na kuna usumbufu kiasi gani ukienda kuripot kwanza ndipo ufungue Account?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
ndg wanajamvi kwa taarifa nilizozpata muda huu ni kwamba kuanzia muda uwe unatembelea website mara kwa mara coz mzigo utatemwa kuanzia leo usiku.source ofisi ya tamisemi dodoma
1 Reactions
108 Replies
15K Views
Mimemaliza form four mwaka 2014 na nimepata pass ya 0.9 geography C,math D, kiswahili D,bios D,physics E,chemistry E, na yaliyobaki yote D au niende chuo gani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi ya waziri mkuu imesema walimu wote watakaoajiriwa mwezi huu watapangiwa maeneo ya vijijini,kwani halmashairi zote za majiji na miji zimejitosheleza kwa walimu wote wa arts na sayansi...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari Zenu Wana JF Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni; BIOS:C GEOG:B ENGL:B HIST:B KISW:C CHEM:D B/MATH:D CIVC:D Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
mpaka mda huu kweli MB zinaisha na hakuna chochote. Jamani hii nchi yetu tunaipeleka wapi? Siasa hadi kwenye elimu. Mmh
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Uhamisho wa vibali maalumu 2015. Walimu tarajali mnajisikiaje mnapokutana na hili.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mi cna iman kw mtazamo wng juu ya elimu ktk nch yng kw sbbu kam wizara zngn wanajal wanataaluma wao y wzr y elimu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hebu tusaidiane hapa kwa gpa ya 2.9 ya diploma ya elimu vipi inawezekana kuunganisha degree?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana Jf,, kuna rafiki yangu amenitumia textmessage' hii nanukuu: "Kuna mtu amenipigia simu anaitwa Abdala Tito eti anasema kesho niende kwenye usahili posta (dar) UTUMISHI wanatoa ajira...
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Nimejulishwa na mdau wangu toka Tamisemi nimepangwa huko. Naombeni mnitajie shule nzuri za Sekondari zilizo karibu na mjini na jinsi ya kufika huko. Nauli ni sh. ngapi kutokea Dar?
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Habarini wadau... naomba mwenye hii document "Standard Classification of Education in Tanzania" au link yake anipatie tafadhali nimegoogle cpati kitu Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…