Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Ministry of Education and Vocaional Training) pamoja na Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prime Minister's Office...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
  • Closed
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya...
1 Reactions
160 Replies
23K Views
Kuna kijana wangu anasoma CBG na angependa kusoma Geology ambayo ime-specialize kwenye biology. Anapenda sana biology na anatafuta Course ambayo ina biology lengo ni kuwa aje afanye kazi kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa Tanzania kunamifuko mingi ya ifadhi ya jamii, Je ni hupi mfuko mzuri ambao hauna usumbufu kwenye malipo?na unagharama ndogo kwenye makato?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natanguliza shukran.. mdogo amemaliza form 4 mwaka huu na kupata b+ nne na B moja na C 4 ambazo B+ ni za phy, chem, biol na math,alikua ana hamu ya kusoma chuo cha ufundi badala ya advance. Sasa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kama kuna mwenye taarifa rasmi za kufanyika kwa mtihan wa kidato cha nne utakua lini? Watoto wetu hawaelewi ikizingatiwa mwaka huu kuna mambo mengi sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tafadhali mweye kujua ada za hii shule nomba anijulishe, ni muhimu kwangu!. Shukrani!.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ndugu waalimu mlowahi kufanikisha zoezi hili naomben msaada wenu, hizi barua ttunatumiana baada ya kusaini mkuu washule au baada ya kusainiwa na afisa elimu na mkurugenzi?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari , Nategemea kuandika research katika ngazi ya ''bachelor's degree'' katika uchumi . Mada :'' THE ROLE OF SMALL BUSINESS IN THE INNOVATIVE DEVELOPMENT OF THE ECONOMY OF TANZANIA(EAST...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kwa anayefahamu anisaidie,amma ni bora nikasoma hapa hapa kwetu Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria na Tumaini vyote vya hapa Dar es salaam watakaohitaji tuition au masomo ya ziada kutokana na kukosekana walimu wa kutosha haswa kwa masomo ya Mass...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomben kujuzwa gharama katika vyuo hivyo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 am serious jamani
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada Kwa Mwenye Kujua Ada Ya Vyuo Vya Ualimu Certificate Na Diploma In Primary Anijuze Please
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kile kinachoonekana mwendelezo wa ubabaishaji katika sekta nyeti ya elimu walimu wanachuo wa cheti na stashahada ya elimu hajaenda kwenye mafunzo kwa vitendo na haieleweki nn kinachoendelea...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari wanajamii.Najisikia furaha kuwa mahali hapa. Mimi ni mwana taaluma kwenye sekta ya elimu. Nawasalimu na tutakuwa wote katika jamvi hili katika kuhabarishana na kubadilishana mawazo ili...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wadau wa hapo Mwanza naomba kujulishwa shule ya advance inayotoa mchepuo wa ECA maeneo ya mjini,nitashukuru sana
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Me naombeni ushauri kwa wanaofahamu mambo ya mipango na uongozi ipi nzuri kusoma chuo kwa ajira ya uhakika?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natambua watendaji serikalini mna mambo mengi yakushughulika ikiwa ni pamoja na kuhakiki utoaji wa elimu katika mazingira salama na bora. Pamoja hilo, wazazi ni wadau wa muhimu katika ufanisi wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiv Jamani Wakubwa Inakuaje Kuhusu Fununu Za Ku-apply Mikopo Kwa Mwaka 2015?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanajamvi kwa kile nilichoandika wiki mbili zilizopita kuhusu kufutwa kwa mafunzo kwa vitendo yaani (BTP). Jingine ambalo limeibuka ni kufungwa kwa vyuo vya ualimu ghafla kwa kisingizio hakuna...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…