Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajukwaa naombeni msaada kwa wenye uelewa na hii course inayotelewa Mzumbe. Content yake ni ipi, inaweza kumsaidia muhitimu kujiajiri au anaenda kuwa mwalimu? Inakuwa applicable kwenye nyanja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman mawazo na ushaur wenu wa kujenga, ishu ni kuelewa vtabu vzur na rejea za kutumia katka masomo ya history, geography, kiswahl na general studies vnavyolandana na muhtasar mpya-kidato cha tano...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
habarini wana jf, naomben msaada kwa yeyote alye na notes za anatomy two anitumie kwa email hio apo chini asanten sana
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wana jamvi naomba kufahamu kuhusu hali ya kitaaluma na nidhamu ya wanafunzi. Nimeomba kujua maana nina mtoto wa ndugu yangu ananishangaza hasa kwa tabia, nahisi morogoro sek ya sasa ni ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I am so gratefully to inform all Students of the Institute of Finance Management(IFM),that the result for End of 1 semester are now released only through Students Information System (SIS )of...
0 Reactions
0 Replies
47K Views
jamani naombeni msaada juu ya hilo njia gani ya kufaata maana nimemaliza ca mwaka jana nilitaka niendelee na co na ni chuo gani
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilihitimu form iv 2006.form 6 2010 PCB div 3 pt 14 yani EED nahitaji kusoma chuo mwaka huu course za afyaa nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wadau. Eti ni utaratibu gani unatumika katika kuweka pesa za wanafunzi kutoka bodi ya mkopo. mpaka kwenye akaunt za wanafunzi. Na inachukua mda gani. Maaana naona kama watu ni wengi sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tafadhari kwa wenyeji wa dar es salamu napenda kujua NACTE inapatikana sehemu gani
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Jaman kutokana na kuchelwa kwa ajira,kuna ndugu yangu ameanza kupata wasiwasi kama walimu walimu wa kiswahili watapangiwa mwaka huu maana nasikia mwaka jana kuna baadhi ya walimu waliachwa, mwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali isiyokawaida mwalim mtarajiwa aliyesomea katika chuo cha Tumaini Makumira ngazi ya degree, amejikuta akipokea kipigo kutoka kwa mwananchi mwenye hasira kali, ikiwa sababu kubwa ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Samahani wadau, tafadhali naomba kuelekezwa namna GPA kidato cha sita inavyopatikana!
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada jamani kama heading inavyo jionesha!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wakuu ! Kuna rumours yakua mwaka huu hakutakua na full-time school admission kwa in-service nurses(EN) wanaotaka ku-upgrade, isipokua kutakua na distance learning tuu. kwa mwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada kwa anayejua chuo kinachotoa diploma ya public relation ambacho kipo Dar es Salaam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu humu. Jumapili nilisikia taarifa ( ITV ) kuwa kuna vyuo 40 vya certificate had digrii ambavyo vimefungiwa kutokana na kukosa sifa. Mwenye kuvifahamu vyuo hivyo tafadhali naomba...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Katika kusomasoma kwangu nimekutana na hicho kitu hapo juu kwakweli kimenichanganya sana kwani nimeshindwa kupata sababu zilizowafanya waizrael kuihama nchi yao na kutawanyika...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Salam wakuu! Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana hajafanya vizuri, amepata division four (pass). Anataka arudie kidato cha tatu kama private candidate, naomba msaada wa shule nzuri ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau, Kama heading hapo juu inavyosema, nahitaji kujifunza lugha ya kichina kwa malengo maalum. kwa kuzingatia ukweli kuwa wachina wanaelekea kukamata uchumi wa afrika kama sio dunia. So...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau Ninaomba mnitajie publisher wa vitabu vizuri vya masomo yaliyotajwa hapo juu kwa ajili ya mwanafunzi wa kidato cha tano, both vitabu vya maswali na vitabu vya notes/maelezo bila kusahau...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…