Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nafasi za kusoma Uturuki chini ya udhamini wa serikali ya Uturuki(FULL SCHOLARSHIPS) kwa UNDERGRADUATE,MASTERS na PhD. Katika fani zote. Applications ni kuanzia tar 25.02.2015 hadi 31.03.2015...
10 Reactions
41 Replies
12K Views
She's a big fan of Disney's Frozen, and loves playing with her dolls. But Esther Okade is also a university undergraduate after starting a degree at the age of ten. Esther, one of the UK's...
16 Reactions
79 Replies
23K Views
Wadau naomba kujua maeneo gan mtaalam alie soma MPH anafanya kazi zaid. na zile english test kama TFL hapa tz zinafanyikia wap?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombenii ushauri zote zipo vizurii auu kuna umwamba wa mmoja kwa mwenzake??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
inawzekan kwa waliopat credit kwanzia 1.7 na walokuwa wnasomea sayans huku bio B chem C phy D math E kwend alevo kw PCB?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, Mimi sio mtu wa mahesabu, ila leo nimefanya ugunduzi mkubwa wa mahesabu ambao unaweza kuleta manufaa gani katika ufundishaji somo la hesabu haswa kipengele cha kutafuta asilimia 50 ya...
2 Reactions
18 Replies
16K Views
Dear Parents. Greetings. Acharya Institutes in Bangalore India offer study opportunities for our sons and daughters to achieve excellent and quality higher learning studies to realize their...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jm poleni kwa majukumu,shule ya diamond ambayo inafundisha katika lugha ya kiingereza ni shida.Darasa moja watoto 170 hilo ni la 4 C ambolo nimelifanyia uchunguzi. A ni 300000 kwa mwaka,kuna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ninaejishughulisha na mchepuo wa HGL. Kwa kawaida geography huwa ninascore 60-90, english 60-85 wakati historia huwa ninascore 67 kushuka chini mpaka leo...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wanajamvi! Mimi mwenzenu kuna suala linanisumbua kichwani, naomba kuuliza hivi tuliosomea psychology katika masuala ya elimu naweza kuajiriwa kwa sabab nina somo moja la kufundishia ambalo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF mie ni mfanyakazi lakini nataka nifanye mitihani ya CISA kwa kujisomea mwenyewe. Naomba kwa mtu anayejua utaratibu wa jinsi ya kujiandikisha kufanya mitihani , mahala inapofanyiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tamko 3.1.2. Serikali itaweka utaratibu wa elimu ya awali kuwa ya lazima na kutolewa kwa watoto wenye umri kati ya miaka mitatu hadi mitano kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja. 3.1.3. Serikali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Kama post inavyojieleza mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2014, matokeo yangu hayakuwa mazuri na siwezi kupata nafasi ya kuendelea high school maana sina credit ila nina...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nina dogo langu anataka kurudia mtihani wa private candidate ila ana uliza kuhusu format ya mtihani huo kama una tofauti na ule watakao fanya 4m4 wa sekondari? Je una ugumu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
mfano: 11 * 12 = 132 11 * 13 = 143 11 * 14 = 154 so chukua namba inayozidishwa(12) zen jumlisha tarakimu za namba hiyo( 1+2)..jibu unalolipata(3) liandike katikati ya namba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Ndugu kama umeshawahi kufanya mtihani wa TEOFL au Language proficiency exam yoyote naombe uzoefu kwa hilo....
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Katika moja ya matamko yaliyotelewa na Serikali kupitia Sera Mpya ya Elimu ni kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini. TAMKO: 3.2.19. Lugha ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za miangaiko wakuu? kwa wale wataalamu wa geography kuna swali la photograph linazingua hapa naombeni msaada wenu! U.S.A Millitary aircraft with altitude height of 900m,ground height of...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Jamani ndugu zangu mnisadie niko kijijini . Je kuna tetesi ya ajira ya walimu.
2 Reactions
80 Replies
217K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…