Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar wakuu. Kuna bro huku kaniambia kwamba unaweza kusoma degree bila ya kupitia A level/diploma. Kaniambia ndo maana katika kuomba scholaship wanatumia chet cha o-level. Mwenye kujua zaid wakuu..
0 Reactions
92 Replies
18K Views
Kuna usemi umeshakua maarufu 'Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka', lakini tatizo ni nini hapa? Nini mzizi wa tatizo hili? Leo hii wanagraduate watu zaidi ya laki 1.5 kwa mwaka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kusomea uhasibu TIA hvyo mpaka niwe na gpa ya ngapi ndo niweze kujiunga na chuo hicho?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakumbwa naomba ushauri wenu kama niende kusomea electronic veta au nifanye biasha or ujasiri amari naomba ushauri wenu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa makampuni,iwe ya kimataifa au ya ndani ya nchi ambayo yanaweza kunilipia masomo ya Masters katika Vyuo vya ndani ya nchi hata kama ni part-time au chuo kikuu huria au...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Dear colleagues, I am looking for the above named course within the country. Please assist to find a suitable training place. Thank you in advance
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kujua ukiwa umesoma degree ya Accounting and Finance, unatakiwa kupiga mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Baada ya kugundua kuwa mwanangu wa nursery ana masomo 7 (hajui kusoma na kuandika vizuri), wa la pili 7 na la nne ana masomo 10, nimejaribu kupitia vitabu vyao nione kama kweli vina akisi kiwango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa
1 Reactions
41 Replies
17K Views
Habari za jioni wakuu, Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kunipa points za mada hii "Tanzanian Education System does not Produce Independent Tanzanian's rather than Dependent." Points ziwe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
0 Reactions
30 Replies
86K Views
Shule za binafsi huweka wastani wa alama za ufaulu ili mtoto aweze kuendelea na masomo. Shule moja hapa Dar imeweka wastani wa alama 61. sasa mtoto mmoja kapata wastani alama 59 tena kwa kujipinda...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Je? hujawahi kufika darasani, au umeishia darasa la saba, form four au form six, lakini unataka kuonekana kama wewe umefika hadi chuo. unataka kuwa na maarifa mengi na akili iliyonyumbulika. hii...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
  • Closed
Habarini wanajamvi humu ndani, Jaman katika pitapita huko nmekutana na walimu waliotoka ku mark paper za madogo zetu xo katika mjadala wao wamedai ya kwamba chanzo cha kucheleweshwa kwa matokeo...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Teknolojia ya Habari na Mawsiliano katika shule zote za msingi na Sekondari ni somo muhimu sana kwa karne hii ya sayansi na teknolojia. Nionavyo mimi utekelezaji wa mpango huu hauna kasi yokutosha...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Ndugu wana jamvi ningependa kuelekezwa kilipo hicho kituo cha living faith kwa anaekijua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF naomba kusaidiwa majina ya vyuo vinavyofundisha course ya event planning managment. Asante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye Ufahamu Wa Coz Ya Physical Education And Sport Science Vp UDOM Ipo?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wadau, Ningependa kufahamu iwapo kuna chuo Tanzania kinachotoa degree ya crime investigation au crime scene investigation au kama ipo degree nyingine yeyote ambayo part ya modules zake ni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Uhalali na ubora wa ABE - UK programs kwa yeyote anaezifahamu. Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…