Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Leo nataka vichwa vizima Solve this.. ◻+◻+◻+◻+◻=30. Fill the boxes using (1, 3, 5, 7, 9, 11, 13, 15) Note:U can also repeat the numbers..
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie sababu ya hii hesabu hapa chini . . . . Nilikua na Tsh.50/- MATUMIZI SALIO 20/- 30/- 15/- 15/- 9/- 6/- 6/-...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Bachelor of Accounting and Finance (BAF), Bachelor of Arts in Accounting and Finance (BA-AF) na Bachelor of Science in Accounting and Finance (Bsc-AF)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi jaman kuna mwenye tetes kuhusu field za ualimu kwa maana naona Hali ni mbaya kwa vyuo vya ualimu vya serikali mpaka sasa wanachuo wa hv vyuo hawajui wataenda lini BTP na ukichukulia vyuo vya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Imekuwa ni utaratibu uliozoeleka sasa Tanzania kwa shule nyingi ikiwamo pamoja na za Serikali na hata za watu binafsi pia hata Vyuo mbalimbali kuwa na tozo mbili za huduma. Kazi au biashara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali inatisha katika jiji la mwanza, maswali kujiuliza, sijui wanaishi mtindo upi? Hivi wanawork permit? Je wanalipa kodi? Wapo wanaodai ni wahaya kumbe ni waganda, wapo wapo wanaozuga ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili suleiman John BAMFED juzi jumatatu alivamiwa na watu wasiojulikana majira ya usiku maeneo ya shule ya secondary old moshi na kupigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa na...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Jamani naomba kuwauliza. Nasikia ya kwamba kuna combination za kidato cha tano na kidato cha sita zinazo ambatana na Georaphy kwa mfano, Biology, Chemistry na Geography (BCG), hazitakiwi katika...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Watu wanajiuliza sababu za elimu kushuka kiasi cha watoto kumaliza miaka saba ya shule ya msingi pasipo kujua kusoma na kuandika. Hivi kwa wazazi wa leo, tunaokagua madaftari ya watoto wetu (hata...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za humu ndani, Naomba msaada kwa mwenye Topic muhimu za A-level mimi ni mwalimu, ninasoma kwa muda wa mwaka 1 kuanzia sasa hadi mwakani inshaallah nachukua HKL.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau. Samahani kwa kuwasumbua.Hivi ili ukidhi sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stahashada ya msingi zamani iliitwa ngazi ya cheti inatakiwa uwe na ufaulu wa daraja...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ndugu wanajamvi hili, ninaleta hili kwenu ninaomba atakaye guswa na hili na uwezo wa kunilipia nusu ya ada ya chuo yaani laki tano kwa mwaka kwa mkataba maalumu nipo tayari. Ahsante. Umri: 27...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je, ni kweli tarehe rasmi ya kuripoti chuoni kwa wale waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2014/2015 kundi la kwanza imeshatolewa? naombeni jibu!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salamu zenu wa Jf, naomba kuuliza juu ya kozi ya Bachelor of medical laboratory hapo MUHAS,KCMC ni kiwango gani cha ufaulu kinahitajika ili kuweza kuwa allocated na tcu kwenye vyuo hivyo.. msaada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
For the UDSM 2014 graduates (both Undergraduate and Postgraduate), your certificates are ready for collection. Please see attachment. Source: UDSM website...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa mwenye utambuzi,ni lini majina ya mikopo ya elimu ya juu yatatoka kwa walio apeal ?, au pengine yametoka mi ndo sijapata taarifa?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani wapendwa naomba munisaidie mwenye notes zozote nbaa module ya foundation anisaidie kwa gharama yoyote , mie npo moshi tafazali...just ni pm asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye ufahamu wa gharama za kozi ya urubani zinazotolewa pale United Tanzania Aeronautics College (www.utac.ac.tz) - Airport Dar es salaam . Katika matangazo yaliyo kwenye website...
0 Reactions
12 Replies
30K Views
wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasomboa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…