Kuna mtu anadai Gazeti la tarehe 27 jan,2015 la The Gurdian linadai ajira mpaka Julai. Likiwa na title hii. Kawambwa: Post on july
Je kuna ukweli katika hilo?
Je unavyo fikiria wewe mfumo wa elimu Tanzania uko vipi ukilinganisha na nchi nyenginezo africa na Duniani kote? Hasa tukiangalia kuwa Tanzania ni moja katika nchi ambazo inawapotezea sana...
Kwa yeyote anakifahamu chuo chochote kilichopo dar wanafundisha guidance and counseling kwa level ya cheti naomba anijulishe.. Ukiacha KIU
USTAWI na TIU.
Wadau mimi naumizwa sana na wizara ya elimu kushindwa kuvisimamia vyuo vyake vya ualimu kwa maana hii vyuo vingi vipo nje ya miji lakini unakuta chuo hakina mazingira mazuri ya kujisomea.
Kwa...
Wana UDASA,
Katika pitapita zango kwenye mtandao nimekuta habari ambayo kwa ufupi tu
inaarifu kuwa chuo kikuu cha "Kampala International (KIU)" hakitambuliki
nchini Kenya.
Nimeangalia tovuti...
Habari kwenu wadau,
Naomba kujua Review classes inayofundisha vizuri iliyo ktk maeneo ya Kijitonyama, mikocheni,Kinondoni, Magomeni na maeneo mengine Jirani na hayo.
Sisi tunaofanya kazi maeneo...
Habarini! Nna mpango wa kufanya masters degree mwakani. Napenda mnipe mawazo kuwa ni kwa namna gani naweza kupata pesa kwa ajili ya kusoma. Kimsingi mimi ni mtoto wa mkulima maana hata shahada...
Tafadhali naombeni msaada, nimeajiriwa april mwaka jana.. hadi muda huu sijapata tsd no. wala barua ya kuthibitishwa kazini.. je kuna vigezo gani vinatumika? maana nimeona wengine tumeajiriwa wote...
By looking at structure of the parliament and internal organisation of CCM,explain why it is difficult for MP"s to remove the prime ministers out of office through a vote of no confidence
​Kweli hii Tanzania nchi ambayo chombo muhimu kam baraza la mitihani la Taifa linaendeshwa kienyeji kiasi kwamba wametoa matokeo ya form two 2014 then after five days yakiwa tayar hewani...
Wadau kuna tetesi kua mwisho wa ajira za waalimu ni 2015.Na pia kuna tetesi kua waliomaliza chuo mwaka huu huenda wasipangwe wote mana idadi ya waalimu imetimia.Na badala ya kuomba unarudi mfumo...
Jamani wanajamvi mnaokaa Arusha tafadhali mnisaidie kupata chuo Arusha, kinacho husikana na maswala ya tourism marketing, Nina stashahada ya chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama pori pale...
Tupo wanafunzi wa MBA hapa schoo of busness tukitafakari nani anafaa kupewa dhamana ya urais sasa katika tuliopo hamsini 89% wamependekeza Kimea achukue fomu maana waliojitokeza hawaridhishi...
Naomba msaada wenu kuna ndugu yangu anafanya mtihani mwaka huu naomba msaada wenu kuelekezwa mwalimu au walimu wazuri au tution nzuri kwa dodoma mjini ambapo ataweza kujiandaa vyakutosha ili...
Kwa wale wapo interested mnaweza kusoma kozi hii free online
About this Course
Feeding nine billion in 2050 without exhausting the planetary reserves is perhaps the greatest challenge mankind...
Ndugu zangu habari za jumapili, naomba msaada wa kujua kama wizara ya mambo ya nje na ushikiano wa kimataifa wana notarize/certify vyeti. Kuna chuo nimeomba nje ya nchi wananiambia...