Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Salaam wana jamiiforums, Natafuta shule nzuri na ya gharama nafuu (angalau Tsh 2m kwa mwaka au chini yake) kwa mtoto wa miaka mi 3. Nikutokana na kuwa single parent na mama yake amenisusia na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
samahan wadau mi niko mbagala nataka nifikike shule ya THOMAS SEC SCHOOL Iliyopo gongo la mboto sijui ilipo kwa anaye pafaham naomba anielekeze.Asanten wadau
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kwa Dar wapi kuna huduma za kufanya mitihani ya TOEFL..Nimepewa taarifa Udsm pale huduma hio haipatikani tena Ahsante.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi Nchi hii hakuna wanataaluma wa kuanzisha vitu muhimu kama hivi? Mashindano haya yamekuwapo tangu miaka ya 1930 Ulaya na Marekani.... pamoja na yale ya Physics, Chemistry na Biology...! Why...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chuo kikuu cha Iringa kwa sasa, zamani kikijulikana kama chuo kikuu kishiriki cha Tumaini chini ya uongozi wake tarehe za mwisho wa mwezi wa 11 mwaka 2014 kilitoa tangazo la kuwa ifikapo tarehe...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Hivi karibuni kumetokea sintofahamu kuhusu ajira za walimu kwa mwaka 2015! Sintofahamu hii inatokana na kauli za Kikwete pamaoja na waziri wake ndugu Zambi! Zambi alitamka ajira za walimu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wanaochukua hii course tukutane hapa kwa ajili ya kubadilishana mawazo kwa mwenye kupenda. Hapa tunazungumzia maswala yanayohusu ufundi yoyote anakaribishwa.
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art. ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Poleni wadau,nimepata kusikia kwa watu kuhusu kuandika barua ya kuomba ajira kwa wale walio sapua May 2014 ....hivi hii taarifa inaukweli wowote?kama kweli hyo barua tunaituma wapi? Kama unazo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Unajitaidi kupiga msuli na unafaulu vizuri lkn mzazi anakuambia sina ela ya kukupeleka au kuendelea na chuo inabidi urudi nyumbani ungekua wewe ungefanya nini
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu,nimekuwa mwalimu kwa mwaka mmoja sasa,lakinii kutoka moyoni nlipenda sana Kuwa mfamasia,nlisoma degree yangu ya ualimu hapo udsm,na sasa nawaza kutafuta chuo chochote binafsi nisome...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Ni shule mbili za sekondari za kata zilizopo bonde la Utengule USONGWE. Hapo awali zilionekana kuleta upinzani mkali wa ufahulu huku walimu wa shule hizo (Horongo&USONGWE) wakionesha kutambiana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Itakumbukwa kuwa serikali ilifanya kampeni kubwa juu ya suala hili mwaka jana 2014. Na ikasema imejiandaa vya kutosha kuwaendeleza vijana hao wa masomo ya sayansi ili wamalizapo diploma ya "chap...
9 Reactions
44 Replies
8K Views
habari wakuunlikuwa nauliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu interniship ,nategemea kumaliza chuo mwaka kesho bachelor of science in medical laboratory technology nimeskia kwa wote waliosoma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania masikini wasiwe na wasiwasi kwani sisi watoto wao kamwe hatutakubali kunyanyaswa kwa sababu ya umasikini wetu, tumeanza na tutaendelea hadi dakika ya mwisho pale haki itakaposhinda...
1 Reactions
235 Replies
65K Views
HESLB wameanza kupokea form za ku-appeal kupia loan officer wa taasisi uliyopo.
1 Reactions
70 Replies
19K Views
maswala ya debate katika mashule ni njia moja wapo zuri sana yenye kujengea confidence kubwa ya kuongea mbele ya watu wengi bila uonga wowote, vile vile debate ni njia moja wapo zuri...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Vijana wenzangu hasa wa vyuo vikuu na huu ni waraka wangu kwenu nahisi huu ni wakati wa kubadilika kifikra na kimtazamo mara nyingi nimepita humu jukwaani nakuta mabishano ya kipuuzi eti chuo gani...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu jana matokeo ya NBAA yalitoka.....lakini yale ya intermediate level hayafunguki je kuna mtu ameweza kuyafungua? Naomba msaada tafadhali......
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…