Big up sana kijana wetu John umeituwakilisha vizur UDOM, kesho mapokezi yatafanyika viwanja vya COED, karibun nyote wana UDOM na wengine kumpokea rais wetu
Ningependa kujua shule ya awali huwa na miaka mingapi?
swali la pili - na mtu huingia akiwa na miaka ngapi?
Kuna silabasi yoyote au ni kila shule kujitegemea?
Naomba majibu. Na msiwe wachoyo...
Jambo ambalo lililopo UDOM ni kumuondo Philipo Mwakibinga ambaye ana mlengo wa CHADEMA na jambo hili linaonekana tokea wiki iliopita utawala walipanga katika kikao cha siri na viongozi wa Chama...
Tafadhali naomba kujua kwa wale wote wenyeji wa Dar - Es - Salaam chuo cha DIPLOMASIA Kurasini taratibu za kujiunga na chuo hicho kwa ngazi certificate au diploma, kwa nini kwasabu nina kijana...
Naomba msaada nataka kusoma postgraduate ya sheria ni chuo gani kinatoa kwa hapa Tanzania? na vigezo vinavyohitajika ili kujiunga Mwenye kujua anijuze.
hii n kwa wale wanafunzi wote ambao majina yao yakusaini boom hayakutoka..inapita wiki tatu uongozi wa chuo na wanafunzi umelifumbia macho tatizo letu kila tukifuatilia ni majibu ya...
Ndugu wana jf poleni kwa majukukumu,kwa yeyote mwenye uwezo wakutusaidia udom prospectus atuwekee hapa ili iweze kutusaidia kufahamu mambo ya chuo kiundani zaidi,natanguliza shukrani.
Naomba mnijuze jamani, nimeangalia ajira za waalimu tangu 2012/2013 na 2013/2014 nimeona waalimu wengi wameajiriwa vyuo vya ualimu mfano Butimba, Monduli, Vikindu nk. sijaona hata mmoja...
.WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU. ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano...
Binti yangu amemaliza Elimu ya sekondari na kufaulu kwa Pointi 12 katika masomo yote. Katika kutafuta Shule nzuri ya kuendelea na Elimu yake ya kidato cha tano yeye akanishauri kuwa anataka...
Nawasalimu kwa jina la BRN....moja kati ya halmashauri ya kiuni ni hii ya Mkuranga..kulikuwa na semina ya walimu iliyokuwa chini ya British council but dakika za mwisho wajanja wamepiga ela na...
Nafundisha wilaya ya Mufindi shule ya NYOLOLO natafuta mwalimu wa kubadilishana anayefundisha shule yoyote iliyopo wilaya ya Mbozi.idara sekondary.0755814442
Kwanza natoa shukurani kwa serikali iliyofikilia mpango wa kaanzisha shule za kata . Msema kweli tulipata changamoto kubwa katika kusoma kwetu ikiwa shule zilikuwa hazna walimu wa kutosha...
habari ndugu wana jf,nimemaliza mafunzo ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti na nimeajiriwa serikalini sasa naomba msaada wenu sababu nahitaji ku upgrade ila sina contact ya chuo chochote kizuri...
Habari tena ndugu zangu
Nimekuja kwa mara nyingine tena kwa yeyote mwenye kufahamu mawasiliano ya simu ya mwalim mkuu wa shule ya sekondari kilakala iliyoko mkoani Morogoro. naomba anisaidie.