Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu zangu wanajamii nilifanya maombi chini ya early scholarship offer nisome degree ya B.COM katika hiki chuo na baada ya wiki3 wamenijibu wamenikubalia lakini sio full scholarship nijitegemee...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
ninayo furaha kuwatarifu kuwa Mimi ni mwalimu wa kingereza isimu (linguistics) pamoja na fasihi ya kingereza (literature). nimehitimu chuo kikuu cha dodoma na kufaulu vizuri kabisa.hivyo kama kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma taarifa kwenye magazeti ya leo kuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Kassim Majaliwa ametangaza matokeo ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za Serikali kwa mwaka 2015. Nimejaribu...
0 Reactions
30 Replies
29K Views
Nipo iramba nataka mtu wa kubadilishana mimi niende mbeya jiji yeye aje iramba idara ya elimu sekondari. Tuwasiliane 0787864236
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndg wana JF natumai mu wazima.Nahitaji msaada wa kupata fomu ya kuomba kutumiwa cheti toka nacte, wameniambi ipo kwenye website yao nimejarbu kuitafuta sijaiona, Ambae anaweza ipata anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
eti ni kweli kwamba kuna baadhi ya watu majibu yao ya appeals za mikopo yashatoka.?na kama ni kweli unaangalizia wapi.,plz naomba mnijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata elimu maana ni utajiri usiyo isha je, unahitaji kujifunza kiingereza cha kuongea na kuandika kwa wiki chache? Je, nyumbani kwako una watoto walio darasa la 4 hadi la 7 au form 1 hadi 4 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman nilikuwa ninaomba nijuulishwe na wana jf kuwa eti hospitali ya mwananyamala daresalaam wanatoa shahada ya utabibu (udaktari ) yaan bachelor of doctor of madecine kama unafaahamu naomba...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Za sahizi wakuu wa JF? Kwa anaejua idadi ya social services kama shule, makanisa, misikitina na idadi ya wanaume na wanawake waliopo Kiwalani, naomba atupie humu...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kupata shule nzuri maeneo ya DSM or Morogoro yenye sifa nzuri na iwe ni boarding tafadhari naombeni msaada wenu wa haraka.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
poleni majuku wote wadau wa jukwaa hili hasa wale ambao ni procurement professionals. Kwa ufupi,napenda kutumia nafasi hii kuwatafuta wote ambao wanajiandaa na mitihani ya chartered Institute...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za maandalizi ya kuupokea mwaka mpya mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu (Ba.Ed 2014) chuo kikuu cha Dar es salaam, masomo ya Geography na language, ninatafuta kazi ya kufundisha...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
jaman uchaguzi wa tahliso unafanyka mwenge na mpaka sasa raisi hajatangazwa sasa huyo mnampongeza kachaguliwa wapi na kachaguliwa na akina nan? please kama una taarifa tujuze.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi UDOM wanatoa degree ya mass com???naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Al madinah international university opening apply for university colleges MR/ Mrs Al madinah international university which win dependence Malaysian Ministry of Higher Education Malaysia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania wanatoa schoolaships kwa vijana wanaotaka kwenda kusoma china. Kuna mtu yeyote anajua chochote kuhusu hawa jamaa. Ni wa kweli au ndio utapeli?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kuna mwenyenye link ya wavuti yenye majina tafadhali saidia. nimejaribu necta na moe lakini sijaona
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar, kumekuwa na ubabe unaoendelea halmashauri ya mkuranga na hili swala limekuwa mazoea, toka mwaka jana katika malipo wanapunguza siku moja moja. Mfano mmesimamia siku saba, lakin malipo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mi kila siku najiuliza "kwa nini Tanzania ni maskini?' Na jibu sipati. Najiuliza kwa sababu naona ni kama watu wana majibu ya kila swali. Humu humu JF uliza swali lolote, hata liwe technical vipi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…