Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Yaan hz coz za MPP kwa upande wa medical course yaan hazina issue bora mzitoe tu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Salaam wanaJF, nilimechaguliwa kujiunga dip ya ualimu lakin nilikuwa cjariport bado kutokana na kuendelea kutafuta ada kama mnAvowlewa baadhi yenu kuwa Serikali umetusurprise mwaka nA ongezeko la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali zenu waungwana nauliza mbeya majina yalitoka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba wizara ya elimu iwachukulie hatua za kisheria wamiliki wa shule binafsi na vyuo vya ualimu kwa kuajiri watu ambao hawajasomea taaluma ya ualimu kuwa walimu na wakufunzi wa vyuo vya ualimu...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Shukran kwnza kwa wana JF. Mwalimu wa kufndisha kwenye kituo cha 'tuition' anatafutwa. Tuko Tegeta 0712661506
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu zenu wapendwa"jamani tangu tufungue chuo tarehe 20 October 2014 had mda huu bado hatujapewa fedha za kujikimu na uongozi hauna majibu ya msingi"vipi wenzangu wa vyuo vingine hali hii ipo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Mim ni mwl wa Physics na Mathematics (Graduate from Mwenge University 2012). Natafuta Part-time ktk shule yeyote ndanni ya manispaa ya Morogoro, nnapatika mda wowote, Asante
0 Reactions
0 Replies
602 Views
You're invited to a special education opportunity... Join fellow alumni and industry friends at this event featuring GIA experts visiting Tanzania. The afternoon will include two presentations...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Leo ni ufunguzi wa tawi la chuo cha uhasibu Arusha hapa Babati mjini: mkoa wa Manyara.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Sijaelewa ni kwa nini hili suala linakaliwa kimya namna hii. Kuna baadhi ya wahadhili wa vyuo vikuu hasa UDSM na campus zake wanawalazimisha wanafunzi eti ili ufaulu lazima ununue pamphlet langu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani ivi inakuwaje baadhi ya vyuo,first year hatujapata boom mpaka leo...hasa kampala university.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati nakumbana nayo kwa mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni-mwanzoni mwa miaka ya tisini. Hesabu yenyewe muulizaji anakusomea kwa njia ya imla (dictation) na wewe unakokotoa. Akimaliza anakuomba...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nimekerwa na Tabia wa Wakuu wa Mashule kama za Filbati Bei Kibaha na Santa Anna ya kwa Msuguli Jijiji wanavowalishawanafunzi wa boarding chakula chenyelishe duni hadi kufikia kuugua Utapia mlo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman naomba kuuliza makampuni yanayohusika na utengenezaji wa pembejeo za kilimo yaliopo daresalaam ili niweze kufanya field katika makampuni hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomben mnisaidie manake mimi sijui kutumia vizuri pesa,, naombeni mnisaidie kwa aliye na wazo jinsi ya kupangilia boom anisaidie,, nitawaelewa wote bila kujali matumizi yangu...
0 Reactions
52 Replies
13K Views
Habarini wanajamvi naombeni mnijuze katika hili Mwaka huu niliapply kupitia tcu na nikachaguliwa bachelor ya IT pale IFM na nikapata mkopo . Lakini sikuwa tayari kujiunga na hii degree hivyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi wanajamvi.. Et kwa dar vyuo gani vinatoa diploma ya ualimu wa sekondari. Na kwa mda huu inawezekana kujiunga? Kuna dogo mmoja anahitaji sana sana.pls help Thanks
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu kati ya hizo levo mbili za elimu hapa TZ ipi ilikutesa h.asa kwenye paper, mie O level paper zake utata ila advance ni uzito wa msuli ( kusoma) ndo hatari. Karibuni tupeane ujuzi
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Msaada wakuu. Naomba mnitajie shule za girls au mchanganyiko zenye combinations ya HGE ? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Friends naomba msaada . Nimechaguliwa pale OUT university. Lakin mpka sasa wanaleta chenga nying kufanya usajili mara. njoo kesho mara majina yamepelekwa NACTE. Kwa yeyote mwenye taarifa za...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…