naomba kwa yeyote mwenye uelewa anijuze kuhusu tofauti za mkopo, kwa meals and accomodation inakuaje kwa vyuo kama cuhas, st john coz za afya inafika mil 2.2 wakati coz hiyo hiyo kiu ni mil 1.8...
Serikali kupitia TCU iliagiza vyuo vikuu vyenye ada kubwa hasa inayokaribia million mbili kupunguza angalau kukaribiana na vyuo vya serikali ili kupunguza mzigo kwa watanzania.
sasa vyuo...
Habari wakuu. Sisi tuliopata vyuo wengine tuliomba transfer na tayari profile zetu zimeonesha kwamba tayari tumeshahamishwa.
Nimekwenda kuripoti chuo kipya nilichopangiwa naambiwa jina halipo...
Rafiki yangu anamke mwenye miaka 25, Mke wake ameishia darasa la 7 kutokana nakukosa mtu wakumsomesha elimu ya sekondari+kumuendeleza kiujumla.
Jamaa amejitoa anataka kumwendeleza mke wake awe...
Mwanzo nilikuwa najua idad ya nafas za kaz zinazotolewa na serikal,mashirika binafsi ni chache kulingana na idadi ya watafuta ajira,kumbe siyo sahii kabisa,AJIRA NI NYINGI TATIZO KUBWA NI ELIM...
Jumatatu ijayo tarehe 03/11/2014 wanafunzi wa kidato cha nne wanakwenda kuanza mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne. Hii ni hatua muhimu sana kwenye maisha yao kwani ndio itapelekea ndoto zao...
Mwenye notes za general chemistry,in organic chemistry, organic chemistry na basic analytical chemistry za aina yoyote za first year naomba anitumie my e-mail is thomasnyarutu@yahoo.com,
Kwa habari zinazo zagaa mitaani Naibu Makamu Mkuu wa Chuo SUA (DVC-AF) anayetakiwa kumaliza muda wake wa kazi Mwishoni mwa mwezi Novemba 2014 ataendelea kukalia kiti hicho kwa miaka mingine miwili...
Ndugu wanajamvi Mimi ni mwalimu Wa halimashauri moja hapa nnchini nilianza Kazi mwaka 2009 na mwaka 2012 nilienda Chuo kusoma stashahada nimemaliza Chuo mwaka 2014 tatizo ni moja nilipewa ruhusa...
Re-opening Of The Central Admission System (cas)
RE-OPENING OF THE CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS)
FOR APPLICANTS INTO DIPLOMA AND BACHELOR DEGREE PROGRAMMES...
Hivi, kuna online-forums zipi nzuri kwaajili ya masomo ya A-level, ambapo utaweza kukutana na watu mbalimbali na kuweza kuuliza swali na kupata majibu?
Natanguliza shukrani.msaada tafadhali
jamani kuna Tangazo la TAMISEMI nimeliona halmashauri ya Masasi linahusiana na maswala ya mwajiriwa anayehitaji kuhama kwa gharama zake mwenyewe
linadai eti yabidi utume barua moja kwa moja kwa...
Habari wanajamvi, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya clinical officer mwaka wa tatu naingia.
Inshort niliingia huku bila mwenyewe kupenda, nilikua nauliza kama nikipata diploma yangu je ninaweza...