Waungwana,
Nakumbuka Prof mmoja wa education pale UDSM, alituuliza: Kama una very limited resources, uziweke wapi? Kwenye biashara ambayo una uhakika mwanao huko mbele ataweza kupitia biashara...
Habari wadau, naomba msaada wa notes na material ya BBA HRM kwa mwaka wa 3, kama uko tayar naomba tuwasiliane, niko tanga, naweza kukutumia pesa ya kutoa kopy ukanitumia kwa bus
Wadau mimi ni mwalimu mwenye diploma na degree ya elimu pia katika elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii.Nimehitimu 2012 lakini kitendo cha kwenda kusoma kilinifanya nifungiwe mshahara...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya BED PSYCHOLOGY nimekaa tuu nyumban sijapata kazi ya part time hivyo basii kwa mkuu yoyote wa shule au chuo chochote cha Ualimu hata education centre iliyoko hapa Dar...
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi...na nina hitaj kwenda kusoma kabla huu mpango wao wa ku upgrade walimu haujafika.
niamze safari ya kusoma huku nikiwa kazini.
kuna njia ya kuongezea credits...
Tcu ilitakiwa watoe angalau siku tatu kwa ajili ya kufanya payment for transfer approval lakini wametoa siku moja tu kwa kila batch. Poleni sana watu mlio mbali na huduma za kibenki na za...
Msaada kwa anayefahamu jinsi ya kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi hasa Canada,Sweden,Australia au popote naomba ani PM no yake ntamtafuta au tuwasiliane 0762639283. Asanteni.
Nikufundishe kutunga hadithi? Ili kutunga hadithi unatakiwa uwe na kisa, uwe na wahusika pia uwe na mandhari na lugha. Sasa hapo unaanza kutunga matukio muhimu. Mfano Musa atazaliwa kwenye...
Wadau naombeni msaada kwa kwenye grading system ya Muccobs, yaani kitu chochote kinachooneaha mfumo wa alam za ufaulu wa masomo mf. A= ngapi, au inaanzia ngapi Na inaishia wapi.
Nimejaribu...
Naomba kuwauliza waheshimiwa, hivi huku chuo A B B+ C and D credit zake znakuaje. Au. Ukipata C au A zote znakua na credit moja. Na ili nifaulu vizur nijaribu kupatapataje yaan.
First year SUA
hivi ni Tz hii ya mwl ya Jk Nyerere ndio ambayo imebadilika hivi? mpaka leo sitak kuamini watu wote waliokosa mkopo hakuna hata :hail:tamko Rasm lililotolew la kutia moyo sisi wana wa jangwani...