Wadau ninaaply mkopo baada ya heslb kutoa chance ya wiki mbili za kufanya hivyo.
Mimi nilimaliz form four mwaka jana na nimechaguliwa special program ya Udom. Lakini kwenye kujaza details kuna...
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea.
Je naweza kusoma...
majina hayaaa****http://www.nacte.go.tz/pdfs/MAJINA%20YA%20WALOJISAJILI%20LAKINI%20HAWAJACHAGUA%20VYUO.pdf*****
MAJINA YA WALOJISAJILI LAKINI HAWAJACHAGUA VYUO STAGE KEY MEANING
REG
Only...
Wakuu nahitaji kusomea urubani niwe rubani maana nikiwacheki ile mijamaa inavyodunda pale uwanja wa ndege utafikri dunia yote yao.
Tafdhali mwenye kujua chuo cha Urubani wa Ndege (sio Ungo)...
Wadau bila shaka mnaendelea vizuri na mapambano ya kuliendeleza taifa katika nyanja mbali mbali, wakuu kama mtakumbuka serikali ilitoa tangazo la nafasi za mafunzo ya ualimu kwa ngazi zote mnamo...
Ndugu wapendwa iv kwamfano umepangiwa chuo ilikuanza mwaka wakwanza alafu ukapatwa na matatizo ukashindwa kuripoti utafanyaje ili kuweza kuripoti katka chuo hicho kwa mwaka unaofuata au nafasi...
Wakuu naombeni msaada kunabaadhi ya wanafunzi tuliochaguliwa UDOM, Tumebadilishwa kozi kwa madai et kozi nyingine zina watu wachache.
Mfano mim nilichaguliwa Bsc in Petroleum Engineering lakini...
Karibu wana jamii forum tuweze kushauria kuhusu maamzi ayafanyayo na wanafunzi wakati wanapoingia form three na kuamua kuyaacha masomo ya sayansi, hii hupelekea mwanafunzi kujutia hasa anapomaliza...
Nisiku Kadhaa Zimebaki Ili Wale Wa Mzumbeni Turipoti Chuo Na Baadhi Ya Vyuo Wakiwa Wameripot Inasemekana Kama Chuo Chako Kimefungua Inabidi Mwanafunzi Aripoti Chuo Alichopangiwa Huku Akilipa At...
Bango hilo lilikuwa na ujumbe uliokuwa ukilinganisha posho ya mjumbe mmoja wa bunge la katiba na mshahara wa mwalimu kwa mwezi. Bango hilo limezua mvutano kati ya walimu vijana na mwenyekiti wa...
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu...
Mpaka leo tar 2/10/2014 heslb hawaja release majina ya wanafunzi waliobahatika kupewa mkopo kwa mhura 2014/2015, ukizingatia usajiri ndo huoo umeshaanza na wanafunzi wengine wanasubiria mkopo huo...
Nimekua nikifuatilia baadhi ya watu wenye pesa duniani na waliokufa wakiwa matajiri wakubwa hawakuwahi kufika vyuo vikuu na wengine waliacha.
Bill Gates mmoja wa watu matajiri mwanzilish wa...
Ndugu wana JF.
Naombeni msaada wenu kwa ajili ya kumuhamisha ndugu yangu toka shule ya day kwenda boarding na sababu ya msingi ni matatizo ya kifamilia, amekosa msaada kwa ndugu zake wa damu...
Habari za jion guyz naombeni msaada wenu wa kimawazo nimekua slected chuo cha mzumbe na profile yangu yangu ya NACTE yaonesha nmekua confirmed ila nkichek jina langu ktk list ya TCU jina langu...