Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar zenu wanajamii wenzangu, Naimani muwazima wa afya, kwa upande wangu namshukuru Muumba kwa neema ya uzima. Kichwa cha mada kihusike kwa walengwa wote, hapa nawaongelea sana sana graduates...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Jaman wadau wa humu ndan,Me naomba tu msinishushue.mimi mwenzenu niliaply TCU mwaka huu. Na pale chini wameniandikia yale maneno kuwa YOU HAVE BEEN SELECTED.But mpaka nw cjui nmechaguliwa chuo...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
Heshima kwenu wadau. naomba kufahamishwa wapi nitapata joining instruction za muce, pia ningependa kujua ni vitu gani muhimu anatakiwa kuwanavyo first year pindi anaporipoti chuoni hasa anaeenda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Introduction TCU has discussed and requested universities offering Health related programmes to increase their admission capacities in order to accommodate more applicants in the said...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nilifanya 2nd appl udom coz ya comp science nikaambiwa u have been selected in my tcu profile bt majina yalipotoka nikakuta majina saba tuuu bt heading yao ilikuwa BATCH ONE watu wanasema wanaweza...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Shule hii IPO nje ya manispaa ya iringa km 30 kutoka ipogoro upande wa kushoto km ukitokea DSM INA mazingira mazuri IPO Jimbo LA kalenga mwaka Jana ilishika nafasi ya pili kiwilaya INA walimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
30th September 2014 Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba Serikali imebuni utaratibu wa kuchangisha...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
karibu katika link hii http://www.sjut.ac.tz/announcements/sjut2014/3rd%20List%20of%20Admitted%20Students_Batch7_.pdf utajikuta. na wale ambao bado katika vyuo vngine tuendelee kusubiri sio mda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mniambie jinsi ya kuomba mkopo kwa wale wa diploma ya elimu( form four) ya masomo ya sayansi , ni jinsi gani wana apply mkopo ! Nina mdogo Wangu kachaguliwa udom ( diploma) wameambiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mm TCU nashindwa kuwa elewa sijui ni ubabe ambao wana utumia au vipi kuna siku walitoa tangazo kuwa eti kwa PCB NA CBG watafanya mchakato wa available slots kuongezwa lakini ikawa kimya...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wale wa dip na ftc waliokosa vyuo wawahi kureset program zao na kufanya tena choice
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wana JF. kuna bifu ilitokea kwenye mkutano kati ya TCU na Vyuo vya binafsi kwenye mkutano uliandaliwa na TCU tarehe 22/09/2014 kwaajili ya kupitisha majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa...
2 Reactions
100 Replies
14K Views
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu, mie nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2013 na kupata daraja la nne point 32. Mpaka sasa sielewi nikasomee taaluma gani! Nimeomba ualimu nimekosa, na ndio lililokuwa tegemeo langu kubwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwa first year nahisis mshawahi kusikia wakubwa zenu wanaongelea boom,kama ww ni mdadisi basi nahis unajua,ok! Nilichotaka kuongelea ni matumizi ya hilo boom, yaan hiyo tsh 7500 kwa siku,kiufupi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nakaribisha mawazo nn kifanyike ili kuongeza ufaulu wa mathematics kwa o'level kwani hata shule zenye wali napo ufaulu unasuasua kama zile shule ambazo hazina waalimu.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamani wale waliochagua open university angalieni website majina yameshatoka. The Open University of Tanzania is the first university in the whole of the East Africa region to offer educational...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, kuna wanafunzi walipata multiple selection na ikadhaniwa kwa namna moja ama nyingine ili kupata chuo ambacho hawajakua allocated katika vyuo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau. Naomba mwenye kufahamu anijulishe chuo inaonyesha nimechaguliwa SAUTI, selection status inaonyesha kuwa "SELECTED" lakini confirmation status inaonyesha kuwa "NOT YET" sasa kwenye profile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…