Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naomba kuliza kama kuna mtu anajua kama CBG anaweza soma Bsc.nursing katika vyuo vya bugando au hurbert kairuki coz nimejaribu kusoma guide book sijaielewa naombeni msaada kama umeona...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
The Vice Chancellor's Welcome The University of Bagamoyo greatly appreciates your decision to pursue your studies here. We shall do our very best to meet your expectations. Our Prospectus...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015 MAELEKEZO: Waombaji waliochaguliwa...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
kwenye profile yangu nilikuwa nimeandikiwa "Be calm while processing your application.Incase any will notify via your email". Ss imetolewa na kubak waz
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hivi inawezekana kutuma form zaidi ya moja??..dogo aliaply 2nd kapata bsc chem unvst f bagamoyo ila hataki kwenda anataka kuomba pharmacy kiu-dar&stjohn,au nursing bugando&kcmc,..amepga CBG ana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu na jamaa zangu!!? Toka udahili wa wanafunzi stashahada ya elimu ya msingi na sekondari (ordinary diploma in primary and secondary education) katika chuo kikuu cha Dodoma (...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
0 Reactions
45 Replies
5K Views
  • Closed
Habari zenu wanajamvi Raisi wa serikali ya chuo kikuu kishiriki cha sayansi na tiba cha mt. Fransisko (FADHILI KALOKOLA) amemteua JESSAM NYATO, kuwa waziri mkuu mpya wa serikali yake, uteuzi huu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari za leo wana Jamii Forum. Naomba kama kuna mtu anafahamu Chuo Chochote cha ualimu wa Shule ya Msingi anijulishe. Nahitaji kumpeleka dogo ambaye amemaliza O Level. Nitashukuru kama...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Habar wakuu Mwenye ufaham naomba anijuze yale majina ya waliochaguliwa st john ni kwa st john center zote au ni center ya dodoma tu? Nahtaj ya center ya dar es salam Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Jaman napenda kuwaomba kwa yeyote anaejua chuo kizur cha afya ngaz ya diploma ambacho bado kinapokea wanafunz wakati huu,na kwa ada nafuu,anijuze coz nataka kwenda kusoma mwaka huu baada ya tcu...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Kwa utafiti wangu niloufanya karibu kwa kipindi cha siku sita sasa ni kwamba wanaopewa fursa ya kupata vyuo NI BRN na sio diploma holder kama mimi, wanajamii wenzangu mie nina diploma ya sheria na...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
kwa yeyote kama analink ya majina ya chuo cha mwalimu nyerere atupie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
National Council for Technical Education (NACTE) TANGAZO WANAFUNZI WALIOMBA SHAHADA YA KWANZA Matokeo yametoka ya awamu mbili na yamesha pelekwa vyuoni kwa ajili ya uhakiki. Tunapenda kuwa...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Nina mwanangu ame 'be selected katika kozi ya automobile eng lakini sina uelewa sana na kozi hii, soko la ajira na ni mahali gani atafanya kazi baada ya kuhitimu. Nilikua nawazo nimuhamishe kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hello mambo vipi kwanza ! Nina maswali haya hapa kama unaweza moja wapo ya hayo basi nitashukuru kama ufafanuzi utatolewa 1. Kuna second round yeyote aliyepata chuo up to now? 2. mbona kwenye...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwanachuo Udom jela miaka sita By Hadija Jumanne, Mwananchi Imewekwa Friday, September 26 2014 at 09:45 Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam, napenda kusaidiwa kujua utaratibu wa kufuata kwa mwalimu aliepangwa kufundisha sekondari ilhali amesomea shahada elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii,ni jinsi gani ataweza kutoka...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED Pia kuna maelezo haya: Confirmation in progress with named Institution...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…