Joining instruction zs CHUO cha afya City College of Health and allied Sciences zimetoka
ili uzipate kirahisi ingia WWW.city health college.ac.tz au piga 0769566282
Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama TCU kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili...
Ni vyema tukatambuana mapema ili tuweze kubadilishana mawazo kadha wa kadha...... kwa wale ambao hawajui mahali chuo kilipo... na mazingira ya chuo kilivyo asisite kuniuliza.... niko tayari...
Waalimu nilienda kusoma bila ruhusa na nimeripoti toka 8/8/2014 na niliandika barua ya kurudishwa kwe payroll na ikapitishwa na Mkurugenzi na akapeleka suala langu TSD.Nimewasiliana na DEO kua...
Kindly be informed that the Chairman has on 4th June 2014 approved on behalf of Senate, a number of changes in the Almanac where the graduation dates which have been moved back by one week...
Habari wana jamvi,
hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu.
Leo hii hadi taasisi zake...
Jambo wa JF,
Siku hizi matokeo ya mtihani wa darasa la saba yanapotoka yanaonyesha grade aliyopata mwanafunzi kwa kila somo, yani A, B+, B, n.k. Naomba wana JF wanaofahamu wanifahamishe hizi grade...
Wote humu JF tunatumia smartphone nyingi ni zile zenye android systm na nyingine nying ni ukweli kuwa simu zetu zinatofautiana sana uwezoo katika kufungua mafile na vingine vingi pia wapo wanao...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Mimi ni mutimu wa kidato cha sita, mwaka 2009.
Lakini mpaka leo sijapata chet changu kila ninapofatilia shuleni sipewi majibu ya kuridhisha naomba mwongozo...
Habari wana JF
Mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Kampala Dar sasa nilikua naomba kujua kuhusu admission letter yaani joining instruction maana kwenye website haipo na sijatumiwa kwenye...
Mi ningependa sana kuchukulia degree yangu dit lakin nasikia kwa mwaka huu haitoi priority kwa wale wa A'level ktk swala la mikopo, inawapa priority wale wa diploma 2. na kweli ukiangalia katika...
Naombeni msaada nataka kwenda kuongeza elimu wapenda hivyo nataka kujua kuhusu vyuo hivyo KIU na OUT.maana nimeona KIU ada zao zipo juu tofauti na OUT.
Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni...
Dear Students,
Kilimanjaro Christian Medical University College trains health professionals of all cadres ranging from Diplomas, Ordinary Degrees, Post Graduate Degrees and Doctor of...