Salaam wana JF
Naomba kuulizia kuhusu hizi nafasi za walioomba kujiunga na vyuo vya ualimu (Certificate level) kwa waliomaliza form IV. Nimejaribu kuangalia threads zingine naona ni nafasi za...
Habari zenu ndugu,
Kwenye cheti changu cha kidato cha nne cha mwaka 2005 nina Agr C, chem C, bio D na engl C, math F, geo D, phy sikusoma.
Nalenga kusoma certificate ya kilimo au afya. je...
URGENT.
Kama unamfahamu kijana wa kiume yeyote aliyemaliza form6 mwaka huu (combination ya science ya PCM...PGM.)...mwenye division 1 OR 2..Mwenye miaka 19 or 20 anatakiwa kwa ajili ya kwenda...
Naomba kujuzwa juu ya hili, kuna guide book ya TCU na ya NACTE?
Ukiangalia TCU guidebook ya 2014/2015 St. Francis university (Ifakara-Moro) inatoa Bachelor of MD tu lakini ukiingia kwny website...
Jamani NACTE wametuelekeza kuwa tuombe mkopo ila tar ilishapita ya mwisho yaani heslb walitangaza kuwa tar ya mwisho kuomba mkopo ni tar 10th september wakati majina nacte wameyatoa tar 14th...
Nimelazmka kufungua uzi huu ili tupeane ufahamu na uzoefu ktk mas'ala ya HESLB loan allocation na Chuo.
Ndg. zangu FIRST YEARS suala la "disbursement" ya mkopo toka HESLB haliangalii "Chuo...
JAMAN KUNA RAFIK ANGU KAMALIZA MWAKA JANA FORM 4. SASA ANAHITAJ KUJUA ADA YA PALE NI KIASI GAN MANA KAPATA 3 YA POIN 31 AF HAJACHAGULIWA, YAN ,ENGL B+
KISW B
HIST D
BIOS D
GEO D
CIV D
MATH...
Habarini wanaJF mimi nna mdogo wangu amefanya diploma katka course ya engineering na pia aliapply kupitia NACTE lakini hadi leo hajaona mwelekeo wowote.
Naombeni mwenye taarifa nzuri juu ya hili...
Wakuu wa hii kaya. Naomba msaada wenu kwa kunijuvya ipi ni degree nzuri kwa mtu aliyechukua HGE kwa advanced level na kufaulu vizuri. Na maanisha ipi yenye future nzuri na prospect ya kupata ajira...
Kwanza hongera kwenu vijana mliochaguliwa UDSM mlimani campas. Ila ninachopenda kuwaambia UDSM ina mazingira mazuri sn ya kusoma lakini sio kupiga usingizi kwani kubebana ni jambo la kawaida...
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa...
Nawasalimu na kuwapongeza wote mliofanikiwa kuchaguliwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Kampasi zake mbalimbali. Wote mliochaguliwa JK Nyerere Mlimani, MUCE,DUCE na SJMC nawakaribisha kwa...