Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

In 2015/16 the University of Manchester is offering master’s scholarships for the following distance learning programmes to applicants from Tanzania: MSc Human Resource Management and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu. Naomba kuuliza kwa anayefahamu vizuri kuhusu maneno haya "available slots" kwenye tcu within selected program
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wadau wa elimu habari! Samahani mimi ni Mtanzania niliepata elimu yangu ya form four mwanzoni mwa miaka ya 2000 na kupata div 3 ya point 25, nikafanikiwa kuendelea na kidato cha tano, lakini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habali wapendwa naomba mnisaidie mdogo wangu ameapply tcu nikiangalia kwenye profile yake mwishoni kabisa kuna kisehemu kimeandikwa huo ujumbe hapo juu {you have been succesiful selected}ila...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni msaada tafadhari kwa yeyote anayesoma, aliyesoma, au anamfahamu mtu yeyote anayesoma muhimbili university anicherk katika namba hii kuna baadhi ya mambo nataka kuzungumza nae...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kwa anaye faham hii fakat inaitwa "rulal development" iko vip soko la ajira,,maeneo unayo weza fanyia kazi mshahar wake uko vip tusaidieniii plz na ugumu wake uko wap
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwenye detail za hicho chuo anijulishe kama kizuri upatikanaji wa hostel
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakati wa bunge la bajet kuna mbunge alismama na kuhoj kwann kuna tofauti ya ada katika vyuo vkuu tz kwa Course za aina moja mfano utakuta B.A in Ed kwa Udsm labda n Lak6 lakn kwa Course hyohiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mimi nimepangiwa mpwapwa kusomea diploma ya ualimu awali ila nateseka kupata joining instructions hata kwenye web yao ambapo mkuu wa chuo ananiambia ipo naona fee strutures na sio joining...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari za jioni wanajamvi!naomba anajua kama kuna course ya Automotion kwenye electrical!au plc kwenye viwanda ndo inatumika sana!anayefahamu naomba anipe utaratibu!nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman mwenzenu ni mvulana na nimechaguliwa mtwara TC Ni mgeni sana wa hayo mazingira, kiufupi nahitaji rafiki wa kike atakae kua kampani yangu kimasomo wakati wote ntakapokua chuoni, awe na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujuzwa zaid juu ya hiki chuo sebastian kolowa. Kuanzia taaluma adi mazingira ya kujisomea.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wanajf
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu hicho chuo university of Iringa mnakionaje? Kwa wanao kifahamu kipo vizuri upande wa academic maana nataka nikapige bachelor of education with mathematics
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamaan naomben msaada kwa maana mimi niliapply 2 round ya chuo mwaka huu ila kulikuwa na program za hovyo ikanibid ni apply hivyo hivyo ila shida yang ni jinsi ya kutransfer chuo na fakati yake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau hivi kwanini ya majority ya waliopata alama ndogo form four na form six wanakimbilia ualimu lakini wanaopata alama nzur kidogo tu hawawazi kuwa walimu wanafkiria vitu vyengine,? N.b sio wote...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu.... Juzi natizama taarifa habari ITV nakumbuka kama nimeskia kuwa kuna chuo kinatoa mafunzo ya aviation na masomo yanaanza august, kwa wale wenye taarifa naomba mnijuze nijue ni...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wana JF natumaini nyote hamjambo! Naomba kueleweshwa kuhusu na wale walioomba special program ya Ualimu mbona majina hayatoka mpaka leo kuna nini NACTE au ndo uchakachuaji wa majina? Ni muda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…