Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu zangu wana MMU, Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana. Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu...
12 Reactions
91 Replies
7K Views
UDSM wataanza kufundisha Kozi za lugha ya kichina mwaka wa masomo 2014/2015 ,,, cozi ni za option, unasoma hata kama unasoma cozi nyingine yeoyote. Muda ni asubuhi na jioni scholarship za masters...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wizara ya elimu na mafunzo ilitoa tangazo lakini cha kusikitisha had leo hawajatoa majibu. Inahusu kusoma advance na diploma miaka mitatu 3. Mwenye tetesi naomba anijulishe maana naona...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mie ni mwanafunzi Wa mwaka Wa tatu. BSC Nutrition. ninahitaji msaada Wa jinsi ya kuandika dissertation. Title yake ni Nutritional status of children in Africa,special reference to Burundi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
je mtihani ni kigezo pekee cha kupima ubora wa elimu nchini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada unatakiwa jinsi ya kuandika dissertation ya Nutrition. Elimu ni Bsc Nutrition. Title ni Nutritional status of children in Africa, special reference to Burundi. Je nitaiandaa vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nani aneyejua majibu ya diploma muhas yanatoka lini.. au kama yameshatoka anambie pa ku yapata.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo. Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata Kwa facult ya education,
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Attached is the whole story of the saga.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenyenayo anisaidie ili nijue vitu vinavyotakiwa nimuandalie mdogo wangu anaenda pale.Ama kama unafahamu vyote vinavyotakiwa anitajie please!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wapendwa nwasalim! Igweeee. Wakuu nina mdogo wangu ambae alikuwa anasoma UDOM kwa baati mbaya kuna matatizo yalitokea katika familia yetu na ivyo alishindwa kufanya supplementary exams na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua zaidi Chuo cha Ualimu Marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda nayo. Nimechaguliwa stashahada ya ualimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi...
1 Reactions
15 Replies
13K Views
Nashindwa kuelewa kwa nini UDOM wameamua kupandisha gharama za direct cost kutoka 239000 hadi 410000 kwa wanafunzi wanaondelea except college of health science amnbao wenyewe wamepandishiwa hadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
great thinkers kuna mdogo wangu amesomea sangiti na kachaguliwa kidato cha tano bwiru girls high school tatizo jinsi ya kupata join instruction imeshindikana! mwenye kunisaidia link yao au...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Habari wanaJF leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya GPA na urahisi wa kupata kazi. 1-Kuna tetesi kwamba mtu mwenye GPA kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye GPA...
2 Reactions
55 Replies
16K Views
Application ilishafungwa, so kama wewe unataka kuja kulia ooh! Sijapata chuo usijekutueleza sisi cz ulishapewa taarifa.
2 Reactions
54 Replies
7K Views
wadau niambieni mnayoyafahamu kuhusu hii faculty, kuanzia darasani mpaka kwenye ajira
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kumaliza Shule ya Msingi kesho na kumaliza kesho kutwa. Mwenyezi Mungu awatangulie wadogo zetu ambao wako kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
4 Reactions
78 Replies
48K Views
Naitwa Williard Maimu, ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro. Nilipoteza vyeti vya kidato cha nne, sita, diploma na cheti cha kuzaliwa. Naombeni msaada nawezaje kuvipata. 0714460301
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…