Salamu wapendwa,
Kuna mambo nataka tuyaweke clear. Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2. Kime contain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in...
Over 300 pupils of Kinyambwiga A and B primary schools in Bunda District Mara Region study under trees while sitting on logs and stones for lack of classrooms.
The schools also lack basic...
Ni unafiki wa hali ya juu kuuita ualimu wito katika karne hii, lazima tufike mahali ukweli uwekwe wazi hata kama unauma Ualimu ni taaluma na ndiyo maana zipo mada za sayansi ya ufundishaji na...
Napenda kuuliza kama NBAA watatoa mtihani kwa ile syllabus mpya waliyoitangaza au ni ile ile ya zamani.
Pia vituo vizuri vya kusomea CPA kwa Dar ni vp?
Naomba msaada kwa wale waliofanikiwa au wanaojua taratibu
Kwani kama mwl. huna TSD huruhusiwi kufanya taratibu za kuhama kituo cha kazi kwa kubadilishana kama kutuma barua tamisem huku ukisubir...
Hadi sasa nishafikiria vingi lakini naona bado sina jibu juu ya cha kusomea maana kila nnachotaka kusomea napata wasiwasi wa kazi Jamani mliotangulia makazini,vyuoni Naombeni msaada
Kipindi tunatuma maombi kwenye TCU guidebook, BAED ilikuwa na mkopo, lakn uki login kwenye profile yako, utakuta kwenye chart ya possible loan pameandkwa 0,
what is this!?
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate...
Nchi yetu ya Tanzania bado inawatu wema kwa mustakabali wa nchi hii ingawa wema hao wanakosa nguvu katika kuleta mabadiliko.
Mnanmo mwaka 2008/2009 kulifanyika uamasishaji kwa wanafunzi wa vyuo...
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) itaandika na kuchapisha vitabu vya kiada (kitabu kimoja kwa kila darasa na kila somo) kwa ngazi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Mafunzo ya Ualimu.
Pia...
Kuna taarifa za siri na kiintelijensia zinazobainisha kwamba matokeo ya Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) yamepikwa kisiasa. Inadaiwa kwamba matokeo hayo yalichakachuliwa (standardized)...
Nimesoma HGK, nikapata (B A D), Nikasoma BAED- History geography- miez 4 ilopita nimeajiliwa kama mwalimu.
LAKINI- O-level nilipata B hesabu na c jiograph: je naweza kuruhisiwa kufanya EGM bila...
Nimetuma fomu ya mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina...
Ndugu wana jf,salaam! Ninaomba nijaribu kueleza kwa kina tatzo kubwa tulilo nalo kwa wanafunzi wetu haswa vyuo vikuu
-wengi wao hawana uelewa wa mambo meng ktk taaluma zao,
-asilimia kubwa...