Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Ndugu zangu wana udom wale walioanza mwaka wa masomo 2013/2014 pesa zenu hazikupelekwa kwenye bima hasa miwan,hawatoi.
0 Reactions
0 Replies
885 Views
I completed my form six education in 2008 and decided to went Kenya searching for good life dwelling at kibira. Unfortunately I failed to fulfill my dream. Recently I came home Tanzania and make...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu?samahanini naomba kuuliza kwa anayefahamu. MIMI nimemaliza DIPLOMA ya ict katika chuo flani ivi cha serikali na kufaulu kwa G.P.A ya 4.0. wakati niko kidato cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Zenu Wana Jf...... Ni Hivi Basi Zikiwa zimebaki Siku Mbili Kabla Ya deadline Ya Kutoma Maombi Tcu Nlkua Nahitaji Ushauri Wenu Sana,Hasa Waliopo Chuo Au Waliokwishaa Maliza Hii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu ana div 3.10 HGL (BBC), ameapply Law UDSM as first choice ambapo wana hata jina wa2 161 na mpaka sasa wameapply wa2 1495, na course ya pili ni Bcom marketing wanahtaji wa2 71 na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika na kwenye majina yaliyobandikwa jana kwenye ubao wa matangazo (notice board) ya chuo inaonyesha kuwa wanafunzi wote wanaoenda field...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Jamani wakuu naombeni msaada. Nimehangaika sana na maisha, nimerudia mtihani mara tatu majibu yanakuja ovyo tu, naona sasa nikasomee hiyo sanaa naamini inaweza kunitoa katika maisha. Nisaidieni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni shule gani hapa Dar wanafundisha Englisha vizuli na kwa haraka.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niliapply Technician certificate in clinical medicine nishachaguliwa St.Aggrey college of health allied science Mbeya nashindwa kufanya transfer to Primary health care institute-Iringa because...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa mdau yeyote wa jukwaa hili mwenye vita but vya economics pamoja na syllabus ya economics form five na six anisaidie natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Miongoni mwa selection ambazo unaweza kufanya unapofanya application tcu ni hzi scholarship, sas kw yeyot mwenye kujua naomba anipe maelezo kuhusu scholarship hizi na pia nahtaji kujua ubora wa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MICHEPUO NA TAHASUSI ZA KIDATO CHA KWANZA HADI KIDATO SITA Elimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na michepuo ya ama ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Si mara moja wala mara mbili nimepata kusikia ubishi ni chuo gani bora kati ya Mzumbe University na UDSM! Hii wala si aina ya mada ambazo navutiwa nazo lakini nimelazimika kujitumbukiza baada ya...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
CHEVENING SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM FOR THE YEAR 2015 The Ministry of Education and Vocational Training is inviting applications from qualified Tanzanians for a one- year Masters...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The Curtin Humanitarian Fund has been developed by Curtin University to support Curtin undergraduate students who have entered Australia under refugee-like conditions and are experiencing...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Wana JF mi nimemaliza diploma ya kilimo mwaka 2010 na nimeaply bodi ya mikopo mwaka huu ili nisome degree je naweza kupewa mkopo? Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikisoma Bsc in education katka vyuo vya private haitonisumbua kupata ajira serekalini?? NAOMBA MAWAZO YAKO.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, naomba kujua kama mivumoni seminary sec school (iliyoungua moto) inapokea wanafunzi wa wasio waislamu. Inaonekana ni shule nzuri kwa infrustructure.
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Mara baada ya kumaliza kidato cha sita mwaka huu 2014, nililazimika kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB ili niweze kuendelea na masomo ya chuo kikuu. Sikuamini kilichotokea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…