MIMI NI MUHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI KOZI YA SECRETARIAL IMENICHUKUA ZAIDI YA MWEZI KUPATA MATOKEO KILA UNAPOENDA MAJIBU UNAYOPEWA NI YA LUGHA CHAFU MPAKA UNAJIULIZA HAWA KWELI...
Wanajamvi, habarini popote mlipo. Naomba kufahamu ilipo shule ya msingi MONTFORT / montfort primary school ktk wilaya ya temeke. Natanguliza heshima kwenu
Kuna tatizo gani endapo mtu akiaply kupitia matokeo ya kidato cha sita na wakat huo huo akaaply kupitia matokeo ya diploma?,mliozoea kutukana na kudis watu naomba mnivumilie na mnijibu kistaarabu
Wakuu salam
Ni mda sasa serikali yetu ama kwa kushirikiana na nchi marafiki imekuwa ikipeleka watanzania inje ya nchi kwa lengo la kuwasomesha hatimaye kupata wataalaam wa sekta mbalimbali zisizo...
Ni mwez mmoja sasa tangu serikal ilpoamua kupandsha ada vyuo vya ulimu, huku ikiwapa mtihan wa mchujo ikimaansha kwa atakayeshndwa kufksha alama 41 kila somo atarudia mwaka, lkn hadi mda huu...
Serikali ya CCM haiwezi kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza kumuongeza Mwl wa Tanzania sio...
Jamani mwenye majina ya chuo cha mubondo kasulu cha kilimo naoba anipostie hapa hata kama ni file zima halafu nauliza hivi hvi majibu ya ualimu tayari yameshatoka kama tayari pia naomba uniwekee...
Nasikia tayari post za kilimo zimetoka! wadau naomba msaada wenu kwa wanaokijua vizuri chuo hiki au wanasoma hapo contact zangu ni 0765005062/0765570301
Wanajamvi naamini hapa kuna wataalamu wa kutosha ni website gani katika nchi yetu hii inatembelewa na watu wengi zaidi mwenye uelewa naomba anijulishe. Ahsante.
Mpaka sasa vijana walio kwenye mafunzo kwa vitendo toka Chuo cha saut main campus na matawi yake hawajapata hela yao toka HESLB, je chuo hiki kimewakosea nini mpaka muwatese hivyo.