Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Haiwezekani hali inakuwa mbaya kiasi hiki, elimu inashuka matokeo yanapikwa, wataalam wanamdanganya, amekubali, katika kada ya walimu tangu Mh Rais aingie madarakani, ahad yake muhimu ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wote, Kuna kitu kidogo kinanitatiza, ni kuhusu diploma holders waliomaliza mwaka huu (2014) na utaratibu wa TCU/CAS kwa wale ambao tunahitaji kuendelea na masomo. Sasa tatizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu eti inawezekana kupostgraduate fani fulani na masters pia ukafanya fani nyingne? Au kuna limitation kwamba ulichofanyia postgraduate ndo hicho hcho ukfanyie masters? Pia unaruhusiwa...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Waalimu wa diploma nao wanatakiwa kupata mafunzo ya jkt ili kujua umepangwa wapi tembelea hapa WALIMU-DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI
1 Reactions
5 Replies
12K Views
Jaman hili swala lmekuwa donda sugu mpaka leo hatujui hatma ya hzo hela kama tunapata au laaa tumeeendelea kuckilia porojo kila cku mara leo mara kesho lakin mpaka wa leo kmya. sasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenye taarifa na Tanga school of nursing....Naomba anijuze. Hata kama join maelezo yao anayo anipe tafadhali.....Ela zenyewe za kibubu shukran
0 Reactions
2 Replies
4K Views
nimemaliza 4mfour 2012 Nilipata points26, Civ- d, geo- d, histr- c, kisw- c, eng- d, bios- d, chem- d, math- f Tangu nipo primary school niltaman niwe mwandish wa habar, but naona nitashindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipi wanatakiwa kufanya wale wahitimu wa kidato cha tano wanao takiwa kwenda jkt kwa mujibu washeria katika awamu ya pili?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kama u nakitabu cha huyu mtu, hakina sif ya kusomwa na mwanfunzi anaehitaji msaad wa kitaaluma, napendekeza kuchomwa moto na kutupwa mbali watoto wasitumie vitabu kwani imetosha sasa, tangu...
3 Reactions
63 Replies
9K Views
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Msaada wenu jaman Nmechaguliwa Telecom Engineering hapo Arusha Tech college bt kuna baadh ya wa2 wamenishauli nibadilishe hii course coz cku hz hain dili eti bt nyie mnanishaur vp bt me nliipenda...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu naomba kujua tofauti ya hizi course kwa sababu Engineering geology ni miaka 4 UDSM na Bsc in geology ni 3yrs,sasa naomba tofauti zaid ya kitaaluma asanten
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nimepata physics-D chemistry-D math-C naweza kupata chuo kwel?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau inawezekana kusoma programme ya PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT pale UDOM kwa matokeo ya dv2 ya pnt 8: g/s-C, Hist-B+, geog-B, Kisw-B. ? Msaada tafadhar
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za sasa wana jf! Kiufupi hii kitu ya matokeo ya kidato cha sita kuchakachuliwa imenigusa sana hadi nikaamua kujoin jf ili niwezi kupost,,,,,,,inasikitisha sana watanzania kuhusisha elimu ya...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Nina teaching certificate grade A chenye 3.8 GPA awarded as CREDIT + Form 4 certificate chenye dv 3 pts 23 ambapo kina credit 4 na the rest zote ni D + FSS fm 6 certificate + miaka 5 ya uzoefu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada kwa mnaofahamu hili linakuwaje? Jana nimeingia profile nikakuta checking in progress, nilivoenda kwenye matokeo nikakuta nimechaguliwa KAM COLLEGE OF HEALTH, Ordinary diploma...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Matokeo ya kidato cha 6 2014 kama yameendana na uwezo wa wanafunzi ni vizueri,lakini kama ni kinyume chake inamaana matatizo kama nyumba za walimu,mshahara mdogo,maabara,mafunzo kazini,vitabu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…