Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwa wale wenzangu na mm tuliopata DDC kuna chuo kma MUST(mbeya university of science and technology) bdo wanapokea maombi kwa wale wa direct entry mwixho ni tarehe 28/8/2014 fomu za kujiunga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii shule imeshakuwa kimeo kutoka kuwa shule bora kwa mkoa wa DSM hadi kuwa shule ya 3 kutoka mwisho
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Eti wenzangu wana JF ushauri wenu ni wa muhimu..ipi ni nzuri zaidi ya mwenzake kati ya geomatics na civil kuanzia upande wa upatikanaji wa ajira bongo hadi inavyofundishwa vyuoni..kwa anayejua msaada.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
nimepata four yenye Phy E, Chem C, Bio C;naweza chaguliwa chuo na tcu??je nijaze coz zipi na vyuo vp??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Bodi ya Taifa ya Uhasibu (NBAA) imebadili mitalaa itakayotumika kuwatahini watahiniwa katika daraja juu la uhasibu Certified Public Accountant (CPA) kwa lengo la kuongeza ufanisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gs-D Arabic-B+ Physics-D Chemistry-C Biology-D BAM-C Division four ,HAWAJAANDKA POINT.
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Nimelipia jana loan board lakin nakumbana na tatizo kila napofungua sehemu ya first applicants, inafunguka halaf sehemu ya kuingiza transaction id ili kuregister inafeli kufunguka! Wenye ujuzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UKISOMA KITABU CHA TCU AMBACHO KILIKUWA MTANDAONI HADI 08/07/2014 UKURASA WA 9 UNASEMA: Note: The programme requirements in this book use the Old Grading System to...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kulingana na matokeo ya kidato cha sita kuwa juu na zero kupungua ukweli ni huu ambao bado hamjafaham Daraja sasa daraja zamani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
We provide a free of charge support in application and admission to Undergraduate, Masters, Ph.D and other professional programs with a wide range of academicdisciplines. We have close ties with...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
vijana wengi wanao jiunga na vyuo wanasoma kozi kwa mkumbo bila kuangalia hali za familia zao.eg. m2 anasoma kozi hajui hata soko la ajira katk koz hzo matokeo yake wanakosa hata sehemu za kufanya...
1 Reactions
105 Replies
16K Views
Pointi za Mtihani wa ACSEE zimepangwa kama ifuatavyo:- Division 1 ni kuanzia 3-7, Division 2 kuanzia 8- 9, Division 3 kuanzia 10-13, Division 4 Mtahiniwa anatakiwa angalau awe amepata D mbili au...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Polen na kaz,,kwa anayejua kuhusu hicho chuo ada ni sh ngap,,pia mawasiliano yao kama yapo..natangulza shukran
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefuatilia shule nyingi zilizofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi, lakini sijaona alama A kwenye Physics. Je ni kweli?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nawauliza tamisemi inahusika na viwango vya ufaulu wa wanafunzi? nimekuta tangazo kutoka ofisi ya waziri mkuu tamisemi eti ndio imepanga matokeo ya viwango vya ufaulu.nachojua ni wizara ya elimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa yule aliye nayo joining instruction ya Arusha technical college anisaidie??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna uwezekano wa kufanya Phd pasipo na mastaz?
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Mwaka jana nlimaliza 4m 6 PCM nkapata BSS, iyo B ya math mwaka huu nikarisit physics nkapata C, je apo naenda degree?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mfumo wa elimu ya nchi yetu Tanzania (sijui nyingine) ni wazi kwamba tunasoma kwa muda mrefu mambo mengi yasiyohusiana ma taaluma tunazozipenda kutoka shule za msingi mpaka kidato cha sita kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…