Nianze kwa kusema nawapa Tano wabunge wa upinzani kwa utetezi wao wa wanyonge hasa sisi walimu. Ukweli tunanyanyaswa na mchango huo wa mwenge. Niwape historia fupi kuwa mimi ni mwalimu wa hapa...
Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?
Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye...
Hii ndiyo taarifa iliyotolewa na jkt katika website yao
Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014
ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili
na wana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo...
Jaman naomba Msaada kwa yule aliye nayo anisaidie kunitumia au kunijuza kuhusu joining instr ya Arusha Technical college,,,,,,,Me n mmoja ya wanafunzi nnayotarajia kuanza kuxoma mwaka huu n mwez...
Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa...
Habari za mchana wana jf,msaada nahitaji soma domestic electricity,ila nahitaji kusoma kwa mda mfupi na sehemu ambapo kuna unafuu wa ada,Msaada tafadhari
kwa mfano; Ardhi University (ARU)(Conventional Programmes) sasa hii (Conventional Programmes) wanamaanisha nini wakuu? tusaidiane please, nsije chemsha.
Mimi mwl erick nataka mwl idara ya msingi aje mtwara vijijini mimi nije mkoa wa kagera wilaya za kyerwa,karagwe na manispaa bukoba simu yangu 0786279760 au 0569138224 nisipopatikana tuma sms
Nimefurahi sana,kuchaguliwa kwenda katika shule nzuri yenye mazingira mazuri na taaluma nzuri, kwa wale tulio chaguliwa pale KAHORORO BOYS SECONDARY SCHOOL.
Huu ndo muda mzuri wa kufahamiana...
Jamani leo nimelipia elfu 30 m pesa kwa ajili ya loan board lakini nikijaza transaction id kwenye OLAS wanadai ni invalid, msaada jaman nifanyaje????????
Mimi nina 1 ya 16 na nimepanga kusoma PCB lakini nimechaguliwa HGK Lindi sekondari. Nimeomba kubadilishiwa shule lakini nimekuwa kati ya wale ambao hawajabadilishiwa. Naombeni ushauri wana JF...
Habari zenu mliomaliza form6 mwaka huu..ni hivi nakumbuka ilipofika wiki ya mwisho ya kufanya mtihani necta walituma walaka mashuleni kuhusu huu mchanganuo yaan i:3-7 ii:8-9 iii-10-13 hivyo pasi...
Nina mdogo wangu amemaliza mwaka huu HGL na amepata div 3 ya piont 10 (BCB),anataka kusoma degree ya sheria (LLB).Naomba ushauri ni chuo gani ambacho ni kizuri na kitamfaa kutokana na hayo matokeo...