HELLOW GUYS, mwenye taarifa na hiyo workshop inafanyika lini baada ya matokeo ya mwezi wa tano... nimechek kwenye website yao lakini naona hawajaweka hiyo download, wameweka link tu ila file...
Three scholarships are awarded each year to candidates who demonstrate leadership understanding through an essay competition.
Number of scholarships
Three
Amount...
Chuo cha udaktari cha KCMC kijulikanacho kama Kilimanjaro Christian Medical University College kimeongeza ada ya mafunzo(Tuition fee) bila idhini ya TCU.TCU ndio wanatoa mwongozo wa ada kwa kila...
Je? Tuna sera ya elimu iliyo wazi, inayotekelezeka na kuaksi maisha halisi ya Watanzania?
Je? Tunayajua matatizo ya elimu yetu?
Je? Tuna mkakati maalumu wa kukabili changamoto za elimu ya Tz...
Habari zenu wana JF.
Naomba mnisaidie research topic ambayo inahusiana na masomo ya finance kama corporate finance,international finance, financial account, financial planing , investment...
Habari wana jf,kuna kozi mpya imeanzishwa mwaka huu pale mzumbe university ya health monitoring and evaluation,je kwa mwalimu wa B.A.ED anaweza kusomea hii kozi au ni spesho kwa watu waliosoma...
Natafuta scholarship niweze kupata masters nina first class ya Baed ila maisha magumu na natamani kujiendeleza yoyote anayeweza kunisaidia hata kwa makubaliano tafadhali nisaidie.
Naomba kwa anaejua kuhusu mishahara mipya. Wameongeza au wanaendelea kutusotesha. Na kama wameongeza je, wameongeza tshs. ngapi? Hali sio nzuri kabisa.
The Spanish based Ranking Web of Universities the Webometrics Ranking of World Universities has ranked University of DAR-ES -SALAAM 28 out of 100 universities in Africa. The top five universities...
Heshima mbele kwenu wanaJF. Poleni na majukumu. Tafadhalini kwa mwanaJF yeyote anaejua chuo kizuri kinachotoa mafundi cherehani wazuri anijuze
Ninapenda sana hii kazi na designing ila nimetafuta...
habarin, nimechaguliwa diploma ya nursing na NACTE, mimi siipendi hii kozi nimeamua kutafuta chuo kingine cha diploma ya clinical officer ambacho mwaka huu ndo kinaanza hivyo hakijaingizwa kwenye...
Kama umechaguliwa Lyamungo au ulisoma Lyamungo tufahamishane kuhusu shule hiyo tafadhali,naenda CBG pale.Kama kuna mtu ana instructions za kujiunga msaada.