Nilikua napitia pitia website ya bodi NBAA, nimekutana na hizi news, Nikaona ni vyema ku share nanyi wadau
https://www.dropbox.com/s/tilgvy7dt111mfs/newsyllabus.pdf
In this world nothing is...
Habari wandugu ..
Mtoto wandugu yangu amepangiwa shule ya arusha girls sec school tumeitafuta katika orodha ya shule za serikali atujafanikiwa kuiona...nikahisi inaweza kuwa arusha sec kwa sababu...
Mwakani ni mwaka wa uchaguzi na ndio mda wa kuibana serikali kupandisha "boom" na kwa kweli tuwe na msimamo mkaki hata kufikia hatua ya kutangaza kuwanyima kura uchaguzi Mkuu. Nguvu yenu...
Huu ndio wakati ambao vyuo vya elimu ya juu na vyuo vingine vya elimu Tanzania vinaelekea kwenye mwisho wa mwaka wa masomo. Kuna vyuo vingine tayari mwaka wa masomo umeshakwisha wakati wengine...
Napenda kushare nanyi hiki kitabu
Prediactably irrational the hidden forces that shape our decision. Kitabu kimeandikwa na Dan ariely ambaye ni professor wa saikolojia huko MIT.
Kitabu...
Ndugu zangu naomba kufahamu vyuo vya ualmu ngazi ya chet vya private (jinsia zote)vinavyopatikana ktk mikoa ye2..ikiwezekana naomba na mawasiliano yao...
Tuweke wazi kwamba fitna na Majungu sasa basi hivi kwa nini,mnakuwa na chuki na wivu wa kike, Juu ya UDOM bila kuwa na Ushaidi kamili? Kama unajua umekuja kufanya usahili Udom umekosa nafasi hasa...
Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2013 na matokeo yangu ni divn 4.point 32 na ninataka kusoma ualimu.Ninaomba ufafanuzi kwa aliyelielewa tangazo la wizara ya elimu kuhusu ualimu.kwa matokeo yangu...
Unafahamu Historia ya Roma na Waanzilishi wake....!!?
Tazama waanzilishi Warumi waliokolewa na Mbwa Mwitu...
http://brainbongo.blogspot.com/2014/07/stori-ya-watoto-wapacha-walionyonyeshwa.html
Swali langu dogo tu sema lina msaada kwa wengi.Hivi majina ya waliomba uhamisho yanatoka lini? Na hivi wale walochelewa kupeleka barua kwa RAS et watachelewa kupata barua zao za uhamisho? Mfano mi...
Jamani me nina mdogo wangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu sema yeye ajaenda jesh awamu hii ye anaenda second round ana presha ya ajabu.... sijapata ona sasa nataka nijue yanatoka lin...
kuna mdogo wangu anataka achukue course ya journalism,kuna chuo nimempeleka wanasema wao wanatoa basic certificate na aldnary diplomer naombeni ufafanuzi wadau.
Wadau wa elimu naomba msaada wenu nahitaji kusoma Masters of Arts in Literature ila uwezo kifedha sina. Nisaidieni namna ya kupata sponsor(s) ili niweze kusoma.GPA yangu 3.8