Tafadhari mi nikiwa ni mmoja wa wanufaika wa mkopo kutoka HESLB niliehitimu UDSM miaka kadhaa iliyopita,naomba kufahamu namna ya kuweza kuwasiliana na Bodi mikopo ili kujua ni kiasi gani natakiwa...
Habari za saa hizi kaka na dada zangu naomba msaada kwa anaefahamu shule za binafsi kwa michepuo ya [ARTS SUBJECT LEVEL YA A-LEVEL]
Anisaidie contant zake za shule hiyo.
AHSANTEN WAKUU WA JF.
Et kwa kua vyuoni wenyewe ndo kila kitu, bas inawafanya wakusoma wakose baadhi ya haki zao.
Mfano, et hii hii bima tuijuayo inawatafuna watu vibaya mno ktkt baadhi ya vyuo hapa TZ.
Ndugu zangu wana JF nilikuwa natuma maombi ila nikachemka hili swali namna ya kulijaza swali lenyewe ni
Choose Your Basic Qualification Certificate of Secondary Education Examination from NECTA...
Niliomba kujiunga na tume ya utumishi wa walimu pamoja na ukaguzi tangu mwaka jana, kama kuna yeyote mwenye fununu ya walioteuliwa kujiunga na nafasi hizo naomba aweke orodha hadharani.
Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka 40, mvua ya Garika ilinyesha siku 40, Waisrael walikaa utumwani Misri kwa miaka 40. Pia Waisrael walisafiri Nyikani kwa muda wa Miaka 40, mnara wa Babeli...
Wadau naomba msaada je, kama mtu umepotelewa au kuunguliwa na vyeti vya chuo na kile cha form four, chuo au NECTA ukifatilia unaweza ukapewa vyeti vipya au?
Habari zenu wanajamvi
Najua baadhi yetu humu jamvini wapo wadaiwa wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu.
Napenda kuwatahadharisha kwamba Bodi ya mikopo imeingia ubia na makampuni ya binafsi kwa...
Habari za siku wakuu! Naomba kuuliza kuhusu mfumo wa kuendelea kupata mkopo kwa sisi tunaoendelea unakuaje? kwa sababu kule kwenye profile hakuingiliki!! Msaada wenu jamani!!:sleepy:
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6, mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba...