Amani kwenu wana JF,
Kwa wale tunaoaply kwa kutumia diploma kuna kulipia kupitia mpesa, sasa tcu/nacte kwenye guide book wameweka maelezo ni kama wamekosea, mfano unapiga *150*00# Halafu...
TAMISEMI walitangaza kuwa watatoa ajira 2219 lakini wametoa 1709 tu dah, na mbali na hilo tarehe ya kuriport ni tar 24 hadi 30 mwezi huu huu.
Lakini pamoja na hilo wamedai kuwa kuna walimu...
Wandugu mimi ninatatizo moja tu nataka nisome nifikie malengo yangu tatizo sina hela ya kuniwezesha kusoma diploma. Nataka niendelee kusomea diploma ya geologia ya madini.
Kwa mwenye kuweza...
Kama heading inavyojieleza, ninaomba kufahamishwa kuhusu kozi hizo mbili, juu ya upatikanaji wa ajira na kujiajiri pia, vile vile msuli wake upo vipi kwa chuo cha IFM.
Natanguliza shukrani.
Ni matumaini mko poa. Katika kipindi hiki application za vyuo zinakaribia kuanza, tunaomba mtupe news zote kwa wale watakao kuwanazo.
Mfano mdogo ni wale wanaosubiri matangazo kutoka vyuoni moja...
Wadau,
Naomba nijulishwe kuhusu utaratibu wa kubadili combination, say kutoka PCB kwenda HGL ambazo zote zinatolewa kwenye shule hiyo hiyo.
Nina maana kwamba mwanafunzi amechaguliwa PCB lkn...
Wadau niasidieni mbona OLAS (Online Loan Aplication Systerm) haifunguki mara ikuandikie data base error! kama kuna mtu wao anapita pita humu tafadhali watusaidie.
Tarehe ndo zinaenda hivyo.
Natural Secrecy" Is Believed To Exist Arround The Universe, Living Thngs Are Largely Considerd To Be Characterisd By What It Called "Natural Secrecy" Is A Biological Phenomenor That Implies Nature...
Jamani kuuliza siyo ujinga, naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua hiyo kozi hapo juu,ina husika kufanya kazi katika maeneo gani mf. kama ni viwandani n.k
Bandugu kwa anaejua gharama ya hostel za binafsi na vyuo kwa Arusha mjini au maeneo ya karibu na Arusha mjini anisaidie mwenzenu mgeni Arusha mwenyeji wa Dar nmepangiwa field Arusha ambyo ni kwa...
Habari wana JF?
Wadau mimi ni advanced diploma holder in accountancy, sasa nataka kwenda kusoma masters degree kati ya IFM na Mzumbe University na ni masters ya MBA sasa wadau naombeni ushauri...
Jamani naomba kuuliza nikitaka kubadili vyeti vyangu form 4,6 na chuo kwa mfumo wa Tanzania, niende wapi?
Na je, itanigharimu shilingi ngapi?
Msaada kwa wanaojua.
Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.