Jamani naomba mnijuze hv ss watu wana apply mkopo au vyuo
Maana watu wanazungumzia kuapply vyuo wakati matokeo yenyewe bado
Jamani mm najua watu wanaomba mkopo na sio vyuo naomba nieleweshwe zaidi
Wakuu, Assalam Aleiykum kwa mpigo.
Napenda kuchukua wasaa huu kuwakumbusha na kuwaomba msambaze taarifa za hii program ya The Mastercard Foundation for Africa, ambayo inatoa Scholarship kwa...
My warmest wishes to you and your dear ones on this very, very special day.
Kama umegraduate with a good GPA, tafadhali jaribu The Master Card Foundation for Africa: Home Page | The MasterCard...
jaman wana javi ninashida moja inay
onisumbua nayo ni hii. Ndugu zangu hapa nilipo mwenzenu nimehitimu Elimu ya kidato cha sits lakini lugha ya kiingeleza imenipita
kushoto. namanisha ivi...
Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye...
Naomba mwenye kunielewesha kuhusu hili suala la utoaji wa ruzuku(grants) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wanafunzi wanaosoma udaktari katika vyuo vya serikali km...
Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti
matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV-...
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata
hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo
mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu
wakifel je...
Ajira za walimu zilitangazwa kwamba zitaanza April 01, 2014. Kweli ikawa hivyo, wengi wakaenda Halmashauri na hata wakaripoti mashuleni. Utaratibu unawataka kupeleka cheque number ambayo ikifika...
Nahitaji kushiriki kwenye semina yoyite ile au mafunzo yoyote yawe ya kijamii, uchumi,biashara, uongozi na hata utafiti niko tayari hata bila malipo nitashiriki.
Yoyote atakae sikia nafasi hizo...
JUZI JTATU NAMUULIZA DOGO WANGU VIP MBONA UENDI SHULE ANANIJIBU DARASA LA SABA WANAFANYA MTIHANI WA MOCK ...
SWALI KWA WA JF 1. HIVI ILE NENO MOCK NI KIFUPI CHA MANENO FLANI 2.ILI NENO MOCK LINA...
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni...
Ushauri ndugu kama Title inavyosema hapo juu, mimi nina diploma ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP) Nimehitimu mwaka juzi, sasa nataka kujua/ushauri nichukue bachelor ipi kati ya veterinary...