Jamani anaomba kujua ,halmshauri yetu imetoa ruhusaza watu kwenda masomoni kwa mujibu wa barua zao za kuwekwa kwenye mpango lakini cha kushangaza wote wamepewa barua inayo sema umeruhusiwa...
Hii ni kama hadithi kwa wengine, lakini ni hali halisi inayowatokea walimu wenzangu, katika shule ile ya kata.
Wakati shule ikitaka kuanzisha, wanakijiji walihamishiwa mashamba yao na serikali...
Jamani najua mnaendelea na ujazaj wa form za loan board but kuna hili la TCU, je ni bora utume elf hamsini kwa njia ya NBC bank au ununue vocha CRDB kote ni elfu hamsini?Na mda wa kushughulika na...
Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa...
Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu...
nchini finland elimu hutolewa bure kabisa hadi kwa international students.gadi masters na phd.sasa tanzania atleast tusubsidize iwe nusu au tuwape motisha waalimu.
finland top 10 ya graduates...
Nimefanya application ya diploma in health training colleges
Tatizo linakuja kwenye kuweka matokeo ya advance..Matokeo yana onesha grade za ufaulu wangu bila kuonesha somo husika (yani wanaonesha...
Niko na ndugu yangu amemaliza form four kwa alama ya maziro mengi anahitaji kujiendeleza kielimu ila hataki tena kumshirikisha mmasai (kurudia mtihani) jamani afanye nn ili ajiendeleze kwa elimu...
Habari za leo wakuu
Mimi ni mtanzania ambaye niliomba nafasi ya masomo ya MSc in Public Relations-Full time katika chuo cha Queen Margaret University Edinburg kwa mwaka mmoja.Nafasi nimepata...
Nataka kusoma Master on my own Sponsor...chuo gani wana offer hii kozi..!! Ila sipendi kusoma UDSM kwa sasa...wanabaniana sana na si kana kwamba nikilaza.
NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital...
Hivi kweli elimu yetu inaenda wapi na lbda inategemea nini kwa kutoa matokeo mapema ya kidato cha nne na kuchelewesha selection, ,,,,mi naona haya ndo matokeo ya division five ndo maana...
Wadau mambo vipi.
Nipo namjazia mdogo wangu form za mkopo lakini kwenye kipengele cha Post Form Four Education panakuwa panagoma.
naomba aliyemaliza kujaza anielekeze jinsi ya kujaza hapo
Nimekua nafanya mahojiano na wanaosomea na waliopo katika ualimu kuhusu kada hii.Leo ukazuka mjadala wengi wanadai kua wanasomea ualimu mana kwao ni masikini wapate ajira haraka,wengine wanadai...
Habari wana jamvi, naulizia vyuo vinavyotoa degree ya education kwa muda wa jioni (evening classes) vipo? Viwe vya masomo ya biashara na uchumi au masomo ya arts. Mwenye tarifa navyo naomba...
Kila leo watu mnavutana kuhusu vyuo bora vya elimu duniani! Oh mara TEKU, sijui Makumira, oh sijui MUCCOBS, SUA, Mzumbe, SAUT, UDOM, Tumaini, sijui Lushoto! Sijui nini! Sasa angalia hizi rankings...
katika hii field ya ualimu kuna watu tunafanya vibaya sana niko ktk halmashauri flani huku kusini mwa tz nimeripoti tu juzi lkn kinachonikera shule nliopangiwa waalimu wa kiume aslimia kubwa...