Kuna kitabu kiliwahi kuchapishwa chenye jina "Mafisadi wa Elimu", kitabu hicho kinatamka kuwa William Lukuvi, ambaye kwa sasa ni waziri wa nchi sera uratibu na bunge ana elimu ya darasa la 7...
Last year,the budget of ministry of education and vocational training was more than fifty percentage of the whole budget,but still most of the students got chance to join higher learning...
Kwa niaba ya rafiki yangu anatafuta kazi ya kufundisha shule ya msingi yenye mchepuo wa kiingereza (english medium primary school) katika mikoa ifuatayo mbeya, iringa na njombe. Amehitimu mafunzo...
Habarini wapendwa.
Kuna hili suala la ufaulu limekuwa ni gumzo, kila mtu ana judge kadri aonavyo, eidha kwa mazoea au kimantiki.
Binafsi hili suala la ufaulu nimeliweka katika mafungu mawili...
Jaman wana chama wa nyabu mpoo? Tangu shule ifunguliwe mwaka 2014 ndo mwaka uliofanya vizur vyenye aijawah kutokea katika shule yetu yaan division one ya p.10 haijawah kutokea au xio? Ulizen...
samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F...
Katika kupitia tovuti ya NECTA nimekutana na huo mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaoinesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama...
habari zenu wakubwa. Wanaosoma bridging course na kuhitimu wanaomba kujiunga na degree kwa njia ipi!? Hii ya TCU au kutuma moja kwa moja maombi chuoni!?
Pamoja na UDOM kuwa chuo cha kata ila ndani yake kuna college mbalimbali za MTAA, sasa college zote wamepata boom kasoro college mbili ambazo ni za mitaa, College of Earth Science COES na...
wakubwa msaada, kijana wangu mtoto wa kaka yangu kang'ang'ania kwenda kusoma seminari,nimeamua kutii maamuzi yake, je ada ya seminari ya visiga na ya maua ni sh. ngapi?au kama kuna mtu anajua...
Ndugu wanaukumbi mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Ukerewe Mwanza.Nimepata mtu wa kubadilishana kutoka kilwa masoko.Naomba msaada wenu kwa mnaoyajua mazingira ya mji na shughuli za uzalishaji mali...
Wakuu,me naona kama serikali huwa inakipendelea vile chuo kikuu cha dar es salaam,ukiangalia wao wamelia njaa siku mbili tu,wakapewa mkopo wao wakati huo huo vyuo vingine kama...
Jf msaada wa kudownloads vitabu kama inawezekana
Biological Scisnce (B.S)
Chand of physics (x11&x1)
Chand of chemistry (X11&X1)
Nelcon of physics
Roger of physics
Rogers of biolog
nk
mwenye...