Mnamo tarehe 10/5/2014 katika kuhitimisha juma la elimu kitaifa, Makamu wa Rais alizindua Programu Mahsusi ya kuinua ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T). Nimejaribu kufuatilia kwenye media lakini...
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo...
MWL NIPO KOROGWE (TANGA) sekondari BADO NATAFUTA MWL WA KUBADALISHANA NAE KITUO CHA KAZI kutoka mbeya jiji au rungwe tukuyu MWANZONI NILIMPATA WA KUBADILISHANA NAE ILA AKAPATA MATATIZO MCHAKATO...
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka...
Katika hali ya kusikitisha wanafunzi wa Ruaha University mkoani Iringa wameambiwa wawe wavumilivu kuhusu `boom' kwani bodi ya mikopo kwa sara haina fedha. hata hvyo ni UDSM pekee ndio wamepata...
mwenye div 3 point 17 combination PCM yenye principal pass 1 tu na nyingine ni subsidiary pamoja na NTA-level 4; je anaweza kuchaguliwa kujiunga na degree.?
Habar zenu wana jamvi nilitaka kujua hivi Tanzania tunasoma saa kwa kufuata majira ya nchi gan maana wazungu hawasom kama sis mfano ikifika saa 6 kamili saa inaonesha 12 kizungu wanasema six...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nfunzi iliyoko katika kijiji cha Nyakasaa kisiwani Kome Wilaya ya Sengerema...