Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu zangu kuna utafiti nataka kuufanya juu ya jengo la Biashara la machinga complex Na proposal tayari nimeiandaa tatizo ni fedha za kufanya utafiti huo kama kunamtu anaconnection tafadhali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani najua hapa hakuna kinachoshindikana,nahangaika kupata matokeo ya kidato cha nne ya Singida sec-2009. Hata link plz. Natanguliza shukurani za dhati kwenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.
0 Reactions
41 Replies
7K Views
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu habari ni shule gani nzuri na ufundisha vizuri sana masomo haya iliopo dar, kwa makini sana hasa hasa wilaya ya kinondoni na ilala na mwanangu nataka kumuamishia dar anasoma masomo haya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwl yeyote idara ya sekondari,anayetaka kuhamia mufindi mimi nije maeneo tajwa tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ukifika chuoni enzi hizo,watu wali wa dis value watu wanaofanya course ya education matokeo yake wamemaliza vyuo wamerudi kuomba PGDE.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Waheshimiwa nahitaji kujuzwa vyuo vinavyotoa taaluma ya computer hardware maintanance
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Inasikitisha ninapoona idadi ya waalim wa masomo ya sayansi (chemistry, biology, physics na mathematics) inazidi kupungua kila mwaka. Mfano hai katika wilaya niliyopo walimu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
H2O: Dangerous Chemical! A student at Eagle Rock Junior High won first prize at the Greater Idaho Falls Science Fair, April 26. He was attempting to show how conditioned we have become to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati jana raisi akitangaza nyongeza ya mshahara kuna idadi kubwa ya walimu wapya walioajiriwa aprili ambao hawajapata mshahara mfano h/mashauri ya kilindi ni walimu wapya 15 tu walioingiziwa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Samahani mwenye vitabu vya Economics Micro & Macro Soft Copy anisaidie, Nina shida navyo sana. Nasubiri majibu kutoka kwenu
0 Reactions
17 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/pages/Alliance-Francaise-de-Dar-es-Salaam/265651016803055?ref=ts&fref=ts Alliance Française Dar es Salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Case | HBS Case Collection | October 2007...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
please kwa anaye vijua vyuo hivi vya Ualimu Singachini na Mandaka naomba anielekeze jinsi ninavyoweza kufika kutoka Moshi kwa gari yangu binafsi. Pia ni km ngapi kutoka Moshi town au kutoka...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…