Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Huu ni mtazamo wangu... Mimi nadhani kupima uwezo wa wanyama wote kwa kuwaambia wapande mti ni kuwaonea baadhi yao, kwani kuna wanyama kama mamba watajiona wajinga maisha yao yote kwasababu kwa...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Kuna dogo kamaliza diploma ya ualimu, anaulizi kipi bora kati ya post graduate ya diploma au degree? Na post graduate ya diploma inachukua muda? Wanaojua hii faculty wamsaidie dogo au kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma guidelines and criteria for issuance of students loans and grants for 2014/2015 academic year kipengele 2.7 nikakutana na maneno "EXCEPT HEALTH SCIENCES,EDUCATION (SCIENCES),EDUCATION...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Jamani ,wadau walisema kwenye ile fomu ya bodi ya mikopo(heslb)cheti cha matokeo cha F6 haki hitajiki, mbona kwenye ile form mwakahuu wanasema vyet vyote vya F4 & F6 vyote vinahitajika? msaada wadau
0 Reactions
0 Replies
4K Views
waliopendekeza kuwepo kwa bodi ya mikopo vyuo vikuu walikua na nia nzuri sana kuwasaidia watanzania kupata elimu ya juu kwa manufaa yao na jamii kwa ujumla. lakini kwa maoni yangu mimi sioni umhim...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie wakuu nina rafiki yangu nime hitimu nae kidato cha IV mwaka 2013 ila kwa bahati mbaya hajapata ufaulu wa kuridhisha.matokeo yake haya apa kisw~B eng~C Civ~D Bio~D Geo~D...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kama kuna anayejua sababu za kuchelewa kwa mkopo kipindi hiki anifahamishe. Ilikuwa tupewe tangu katikati ya mwezi wa nne lakini paka sasa ni patupu bila taarifa yoyote.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu tangu tarehe 23 wale tunaoendelea kuomba mkopo kwa mwaka ujao inahitaj paswd. Sasa hyo paswd ndo ngoma nzito.katika recovery ya paswd ndo usiseme.ambaye ameweza atwambie.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wandugu mimi nmesoma bachelor of philosophy with education so nataka nichukue masters naombeni ushaur wenu nisome kozi gani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajf. kumekua na mijadala mingi sana kuhusu ni lugha gani inafaa kufundishia watoto mashuleni.malalamiko mengi sana yamekua yakilenga kua wanafunzi wanapo hama kutoka shule ya msingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba mwenye kujua tarehe ya mwisho ya kupeleka barua za kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu anijuze tafadhari
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wahanga wenzangu tuliokosa ajira za uwalimu awamu ya kwanza natoka Tamisemi ya hapa Dar kwa information nilizopewa yatubidi tuwe wavumilivu kwasababu sijapewa matumaini yoyote labda...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Naomba kupata msaada kwa anaejua nini kinatakiwa kufanyika baada ya mwanafunzi kupata matokeo na yeye anataka kwenda kusomea ualimu... je upi ndiyo utaratibu, je unaanza mwezi ngani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naonge kwa machungu sana kuona kwamba halmashauli ya jiji la mbeya walimu wapya mpaka leo hawajapata mishahara yao kama ilivyotegemewa hapo awali kama tanngazo la tamisemi lilivyotangazwa hapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji mtu wa kuniandikia proposal na final research report ya undergraduate. Mwenye kuweza kazi ani pm
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndg zangu waalimu, Ni juzi tu tumesikia kwamba serikali imeandaa zaidi ya billioni 1 na mil 60 kwa ajili ya kuhakikisha Tundu lisu haungani na UKAWA katika jitihada zao za kulikomboa taifa hili...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
ebu tukisome kifungu 3.4
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…