Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimemaliza diploma of Business Adm..Nataka nijiunge na OPEN UNIVERSITY,je ni sifa gan ninatajiwa kuwa nazo ili niweze chaguliwa kujiunga na OPEN UNIVERSITY kwa ajili ya masomo ya degree?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayeifahamu shule ya lugoba kwa a level anipe hints natakakuifahamu kiundani
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Nimepata marks hizi kidato cha nne mwaka jana.Chem c,Bios B,Englsh B,Kisw B,Math C,Civics C,Hist C,Geography C na phy D,Vip naweza chaguliwa technical college kwa direct entry.Nilijaza 1st choice...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga imefanya kitendo kibaya kwa walimu wa ajira ya mwaka 2010 grade iiiA , imeletewa walaka wa kuwalipa walimu fedha yao ya nauli na mizigo lakini haikuwalipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti course inayohusiana na mambo ya gas inaitwaje? na inapatikana katika kiwango kip na vyuo vipi? Naamini mtanisaidia hapo asanteni.
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Habarini???? Napenda kufahamishwa wadau ndugu yangu ambae ni mwalim amehama kituo kimoja kwenda kingine kwa kuomba uhamisho, je anaweza kulipwa fedha ya usumbufu? Kwenye kituo alichohama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hadi kufikia Machi 31 mwaka huu, Wizara ya Elimu ilihitaji kiasi cha Sh86.5 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wananfunzi, Bunge lilielezwa jana. Mbali na kiasi hicho, hadi kufikia wakati huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kupata vyuo vinavyotoa distance learning hapa tanzania, nimejaribu hata kugoogle sijapata, mnaojua tafadhali naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf, ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa hawa maafisa wa wilaya ya URAMBO. Pamoja na walimu kuripoti tarehe mosi aprili,lakini halmashauri haitaki kuwapa mshahara walimu wapya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau nauliza kama kuna mwenye taarifa za nafasi za masomo kwenye vyuo vya kilimo atuwekee.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process...
1 Reactions
101 Replies
13K Views
Habari za mida wakuu, Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima. Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama 7500 inamtosha mwanafunzi wa chuo kwa matumizi ya siku moja, kwa nini wabunge nao wasijengewe hostel wakae humo halafu wawe wanalipa 500 kwa siku kama wanafunzi wa vyuo, halafu badala wawe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
vipi hali wana jukwaa , nilikuwa na hitaji na wanafunzi wanaosoma katika hivyo vyuo nilivyovitaja hapo juu ,ningependa wanijuze kuhusiana na kozi ya CLEARING AND FOWARDING ikiwa bado inasomeshwa...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Naomba kufahamishwa wana jf ni chuo gani kizuri kusomea mambo ya graphic and design mana niuliza ucc nimeambia hadi mwezi wa 11 msaasa tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…