Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wakuu habari zenu Ni ivii waliomaliza vyuo vya afya private na kufaulu vizuri kama certificate ya pharmacy. wakuu hawa wafamasia ajira zao wanapangiwa direct hospitali za kiserikali kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wana jf embu niambieni kuna mtu kaniambia kupata mkopo mpaka connection eti maana watu waliotoka diploma huwa hawapatagi kuna ukweli hapa
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Wale waliosoma Makongoro sekondari kuanzia mwaka 1992 hadi 1995 tuwasiliane. Mfano Abel Tella,Kamese Makutano, Benta Mbunde, Pilly Oyuke, Monica Charles, Rhobi Chacha, Chobos Philip na wengineo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
za muda huu walimwengu wenzangu...naomba msaada wenu katika hli Suala.......eti between Bsc. Economics in PROJECT PLANNING MANAGEMENT(PPM) and Bachelor of Accounting and finance(BAF), which one is...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF nilikua naomba mniorodheshee topics za kidato cha tano za kiswahili, history & geography
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Wizara ya elimu imeanza kupokea maombi ya ualimu pasipo kufafanua mwisho wa ku2ma maombi. jaman tunaipeleka wap elimu ye2? naishauri wizara kuedit upya lile tangazo lao ili mambo yawe wazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu napenda kujulishwa kati ya bacholar ya ualimu (MASOMO YA SAYANSI) na uhandisi ni ipi inalipabkatika soko ajira
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wanafunzi wa shule tofauti za dsm zimechoka na tabia ya wanafunzi wa kisarawe secondary.Wanafunzi wa kisarawe wanazidi kuiba mabegi na nguo za wanafunzi walioenda kwenye easter conference ktk...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna kozi za IT na Business za "NCC EDUCATION" zinazotolewa hapa Tanzania na vyuo kama IIT, Learnit na Institute of Management and Information Technology vyote vya jijini Dar. Napenda hasa...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kutokana na adha,mateso na manyanyaso tunayopata kudai pesa zetu za kujikimu walimu wote wapya msingi na sekondari halmashauri ya magu naomba tukutane jumanne ktk ofisi za halmashauri kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kisa ni imani za ushirikina na siasa chafu ndizo zimepelekea walimu kutimua wote baada ya kuchoka kuchapwa na kulimishwa usiku.Huku sababu nyingine zikiwa ni kuchochewa na wanasiasa hasa CCM.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Mwananchi, uk 2 :A S cry::A S cry::A S cry:Kuna mambo mengine yanafanyika Tanzania yanachekesha na pia kuuzunisha sana. Wanafunzi 50 wa UDSM walizuiwa jana kuhudhuria kongamano la katiba UDOM...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi...heri ya Pasaka kwenu wote! Leo napanda jukwaani nikiwa na shauku ya kujua,ipi iko vizuri kwa soko letu la ajira la tz...Master ya Business Administration au Master ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je ni kwel form 4 leavers 2013 walopata div 1-3 hawatochaguliwa chuo hata kama ulichagua chuo? nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Source Prof Mkandara Leo Mkandara ameudhihirisha umma kuwa sasa UDSM wanatembeza bakuri cake wanayopewa haitoshi kutoka serikalini, mpaka sasa cake wanakula UDOM. hii imesababisha mgogoro mkubwa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Tutambuane tuliosoma iyunga technical secondary school tukimkumbuka mwanafunzi mwenzetu aliyekufa mikononi mwa polis michael sikupya mwaka 2000
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Mwl.wa Physics anapatikana, Kama unafahamu shule yeyote ya Binafsi inayohitaji mwl.wa Physics nitaarifu kupitia 0788917554. Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…