wadau naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata udhamini wa wizara katika kile chuo, nimejaza application form yao, kwenye sponsorship nimechagua government, sasa wasiwasi wangu uko hapa, isije ikawa...
Wadau wa JF,
Naomba kuuliza je ninapotaka kufahamu kuhusu takwimu mbalimbali za utalii Tanzania nitazipataje? Hivi sasa nipo nje ya nchi kimasomo na takwimu hizo ni kwa ajili ya research. Hapa...
Habari zenu wakuu,
Mimi natarajia kumaliza kidato cha sita mwezi ujao, napenda nichukue Degree ya Economics.
Kwa hiyo naombeni mnieleze Faida za mtu atakayehitimu katika fani hiyo, changamoto...
JAMANI SHAHADA HIZI NI BASI TU. Kuna watu walikuwa wanasoma kwa nguvu zote, wakati mwingine hata walilazimika kuondoka madarasani saa nane mpaka saa tisa usiku.
Watu hawa walikuwa wanachukuwa...
Admission into Ordinary Diploma and Advanced Diploma Programmes 2014/2015 Applications are invited from qualified candidates who completed form four or form six or candidates with equivalent...
Jamani mimi nilkua naomba kufahamishwa kuhusu madaraja na alama zitakazotumika kupanga matokeo kwa form six wa mwaka 2014.Je ni alama gan zita range kutoka A,B,C,D,E,S na F.Na nakumbuka hotuba ya...
Walimu wapya wa shule za sekondari katika manispaa ya Bukoba wamekusanyika hapa kwa mkuu wa mkoa wa Kagera katika harakati za kudai fedha zao za kujikimu na nauli baada ya manispaa ya Bukoba...
Ni jambo la kustaajabu kuwa tangu kuripoti katika halmashauri ya manispaa ya Bukoba mkoani Kagera tarehe1.04.2014 hadi leo hii walimu wapya hatujalipwa fedha yoyote na uongozi wa manispaa...
Inakuajeeeeeeeeeeeee!
Samahani sana wana jf kwa hili manake kichwa kinauma. Swali langu ni Wanachuo wote wa vyuo vya private wanaosomea faculty za Afya eti huwa wakimaliza masomo either kwa...
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na...
mi nilitaka kujua ni vitabu gan ni vizur kutumia advance kwenye hiki kipindi kwani vitabu vingne vpo ila havko relevant na mtaala wa advance ,nisaidieni kama ukinipatia title na mtunz wa hicho...