Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu pole kwa kazi ya ujenzi wa taifa! Naomba msaada wa maelekezo na hatua za kufuata kama umereseat na unataka kuwa na matokeo yako ktk cheti kimoja yaani kufuta ya zamani na kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia matokeo ya kidato cha 4 ili kubaini chanzo cha "kubuni" matokeo hayo kikubwa nilichogundua ni "wizi" wa kura kwa mwamvuli wa ufaulu.wazazi wanahadaishwa na matokeo hayo ili iwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki zilizopita iliibuka mijadala mingi ooooh ajira za waalimu zimesitishwa, ooooh walimu wa arts hawataajiriwa, oooh ajira za waalimu ni mpaka mwaka mpya wa fedha, oooh serikali haina fedha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kumekuwa na maneno kwamba kwenye hivi vyuo vya MZUMBE na UDSM kwenye kozi ya SHERIA(LL,B) ndio wanashule ngumu sana kulinganisha na vyuo vyengine vya kata kama SAUT,RUCo,TUMAINI DAR,TUMAINI...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ebu ona jinsi wanafunzi tunavo soma!
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Hatimae chuo cha st.joseph songea kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vya chuo kikuu. uamuzi huo umetolewa na uongoz wa mkoa baada ya wanafuz kugoma leo ikiwa siku ya 2...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tare he 11. 02. 2014 usaili ulifanyika kwa walioomba scholarship za tgcl. Chakushangaza ni mda mchache uliotumika kwa Kila mtu kuhojiwa, yani dk5 tu. Maswali ya kujiuliza ni: je huu usaili ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ni vyuo gani vya kuaminika vinatoa diploma ya journalism miaka.2? Kwa nn UDSM hawana programu hiyo?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Agosti 1, 2012 kulikuwa na mahafari ya tatu ya chuo hicho.Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndugu Emmanuel Nchimbi. Katika wanafunzi 19 waliohitimu watatu walipata First class.Wa kwanza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kwa nini serikari inabadilisha badilisa pesa kwa raia wake.? . Hizi mpya sijaona uimara wake nilifikiri zitakuwa bora zaidi kuliko hizo za hapo awali. Sasa ni afadhari hizi mpya ziondolewe kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wanaJF hao wanafunzi waliofaulu wanapangiwa shule lini na vigezo gan vitatumika kwenda A-level? Tafadhali namba mnisaidie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
msaada wanaJF, nina mpwa wangu (mtoto wa dada) mimi ndio ninayemsupport kwa kila kitu sasa matokeo yake ya form IV ana B moja, C tatu, D mbili na F moja na combination zilizokubali ni HGL au...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
baada ya kukutana na walimu wengi wasioweza kabisa kufundisha na hawaeleweki darasani,mwisho nimebaini wengi wao hawastahili hata kuajiliwa,mfumo wa kuwaajili bila interview kama matakwa ya ajira...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
DIT ni chuo cha tekinolojia bila tekinolojia, kimepoteza mana na kushindwa kusadifu jina na kuwa mhimili wa tekinolojia kwenye taifa lisilo na tekinolojia hata ya kuiba, kimegeuka chuo cha kutoa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu naomba mnisaidie kwa wa nao ijua vizur hiyo graduate program au kama umesha apply noamba unisaidie kwa information
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hodi wana jukwaa,na habari za majukumu. Najua watembeleaji wengi wa jukwaa hili ni wadau wa moja kwa moja wa elimu. Sasa,naomba ku pose haka ka swali ka kutufikirisha kidogo: JE,UNASOMA ILI...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia kidogo masuala ya elimu,ila hapa nasema kweli.huu ni wizi uliopindukia jamani matoke ya kidato cha 4 ni wizi wa kisiasa kuwarubuni wananchi ione wamefauku kumbe nia ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hii ndo itakuwa post yangu ya mwisho kuomba ushauri hapa kuhusu faculty za uchumi nazotaka kusoma........HGE nna div 13 baada ya kuuliza na kupitia pitia nimeamua kuchagua 5 kwa mtiririko...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
naombeni msaada wa vitabu vizuri vya combi ya pgm. Jina la kitabu na mwandishi itapendeza zaidi
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…