Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Teaching aid si neno geni katika sekta ya elimu hasa kwa walimu. Hiki ni kitu kidogo sana lakini huwa kinaleta shida hasa kwa walimu walio ajiriwa, uandaaji wa vitu hivi umekuwa shida kweli...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi wakuu inawezekana kwa mtu aliyekwisha sajiliwa chuo kuomba upya kwa kozi nyingine na akakubaliwa? Je! Mkopo nitauhamishaje? Au nako itanibidi niombe upya?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dodoma.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameelezea kukerwa na daraja la tano katika muundo mpya wa kupanga matokeo, kuitwa sifuri. Dk. Shukuru Kawambwa, aliyasema hayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ilikuwa ni mwaka jana, Bw Ntembanda aliyekuwa akisoma chuo kimoja hapa dsm, bwana huyu akiwa mwajiliwa wa kampuni moja hapa mjini, bwana wa familia ya mke na watoto watano, alienda pale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
An academically accredited course that is building leadership for Knowledge Society Development in Africa No course fees required! This course is for public sector employees/civil servants...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hodi humu ndani! Jamani week iliyopita nilipigiwa simu (namba naihifadhi) ikinitaja kwa jina langu, ikiniuliza kama nilishawahi kuomba sponsorship ubalozi wa Belgium, na kama bado niko shule au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uchambuzi huu umezingatia kigezo cha shule kongwe kihistoria. Ni zile zilizoanza kabla ya uhuru. 1. Sekondari ya Mzumbe Imeshika nafasi ya 40 kitaifa. Ufaulu kwa madaraja ni kama ifuatavyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nashindwa kuelewa hasa mzimu unaowakabili wanafunzi wa sasa kuendelea kufanya vibaya ktk mitihani yao ya kidato cha nne.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana nmefaulu naenda A level na kombi ya PCM....sasa nilitaka nikifika chuo nisomee mambo ya computer,,,je nijipange kusomea upande gani wa computer??....kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 20141. INTRODUCTION Applications are invited from qualified Tanzanians to apply...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwenye kufahamu 'modules' za kozi ya post graduate diploma in procurement and supply katika chuo cha Institute of Accountancy Arusha.Je, kwa mwenyeshahada ya elimu anaruhusiwa kusoma kozi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji mtu awezaye fundisha Mathematical Syntax and Semantics. Awe apatikana Arusha. Tafadhali ni-MP kwa maelezo zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Zenu Wanaforums Nakuja Kwenu Kutaka Ushaur Wenu. Nina Ndugu Yangu Amefanya Mtihan Wa Kidato Cha Nne Mwaka 2012 Na Matokeo Yake Hist D Math D Bios D Geo D Civ D Chem D Kisw F Engl F Phy F Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Japanese Government Scholarship Program administered by Japanese government, offers scholarships for African students to study in Japan universities. Deadline to receive applications for this...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
jamani mtu aliyeba course moja na kesha chomoa hizi ajira za walimu ztamuhusu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta sponsor wakuniwezesha ni some masters ya hapa nchini ya IAA au IFM kwa anayejua michakato ya kuniwezesha kufanikiwa tusaidiane
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu nimekutana na habari kuwa chuo cha taifa cha usafirishaji karibuni kitaanza kutoa kozi za urubani.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomben mnisaidie natafuta sponsorship kwa anayejua michakato ya kupata hizo sponsorshp tusaidiane
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Katika mazingira ambayo si rafiki ki-Elimu leo hii Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msata ambayo iko Jimbo la Chalinze imefungwa ghafla na kuwalazimu wanafunzi kurudi nyumbani kwakuwa maeneo hayo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…