Gharama za maisha zimepanda na ushahidi ni wabunge wetu ambao wamekataa 300000 kwa siku, wanafunzi wanapewa 7500 kwa siku haitoshi hivyo serikali pandisheni mpaka 15000 ili vijana wetu wasome kwa...
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndyo hali inazidi kuwa tete, hakuna mwenye taarifa rasmi kuhusu ajira mpya za walimu kwa TAIFA ambalo lina upungufu mkubwa wa walimu na mipango kadha wa kadha ambayo...
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa...
WanaJf ee! Nimetembeza macho yangu weeee! kwenye net sijafanikiwa kuona Notes au Past papers za CPA(T) za NBAA (National Board of Accounting and Auditing), Labda nimeona za ACCA TU Hapa, but...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimetunga kitabu cha riwaya ya Kiswahili. kinaitwa 'Hii ni Dunia' ninaomba mawazo yenu namna ya kuchapisha kitabu hicho na namna ninavyoweza kupata udhamini juu...
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa...
natafuta title la dissertation yangu ya masters, napenda ni deal na mazingira katika oil and gas industry, kwa wadau mlioko katika sector hyo naomben msaada kuni alert matatizo makubwa ya...
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua...
How much would you be willing to part with today in return for 1,000 shillings to be received at the end of a five year period from now and become neither better off nor worse off, given that the...
Ilipo anzishwa walimu wa upe kulikuwa na faida zake na hasara zake baadae walimu hawa wamefutwa (wengi wao wamesha staafu).
Gafla wakaja waalimu wa voda fasta na wenyewe wapo wapo kiaina...
DC Mkwasa aelekeza walimu kujengewa mazingira mazuri
By Mwandishi wetu
19th february 2014
Mkuu wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa
Madiwani na viongozi wa serikali za vijiji...
Wadau sasa imefahamika wazi University of Dar es Salaam (UDSM) imekuwa ya 28 katika vyuo bora Africa. Tofauti na fukununu za mwanzoni ati ya 4 Afrika Fuatilia link hii...
Sisi wafanyakazi wa college of humanities and social science (udom) tunasikitika kudhulumiwa pesa zetu tulizo ambiwa na prof mwamfupe(ambaye alikuwa acting principal) tujitegemee kwa chakula...