Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wataalamu naombeni msaada hili swali linataka nini? Accounting in not an end unto itself rather a means to achieve end. Comment on the above statement by giving the factors which influence an...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wa chuo cha st.joseph tawi la songea wamefanyiwa uzalilishaji na jeshi la polisi wavunjiwa milango na kutolewa nje wakiwa uchi wapigwa na kujeruhiwa vibaya majanga haya yamewakuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima yenu wakuu, kichwa cha uzi hapo juu kinajieleza ,naomba kwa mwenye kujua mtaala mpya wa vyuo vya ualimu tz mwaka 2013 /2014 anijuze au anifumbue macho . nawasirisha
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaa kwa kushtushwa na taarifa kwamba ni lazima mtahiniwa asahili masomo zaidi ya matano kama anataka tafuta credit je nikweli utaratibu huo watumika?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu nilipoanza chuo mwaka 2009 nilipenda sana kufatilia jf hasa jukwaa la elimu, kilichokua kinanivutia ni post zakponda vyuo, wkt mwngne nilikua napoteza muda mwingi kuchangia kwenye hizi hoja...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
I understand that many schools in this country of ours do not have computers, connection to the internet and the necessary equipement to support such as electricity, but this testimony (or is it?)...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka,lakini nashindwa nianze vipi kazi,kama mnavyojua wabongo walivyo wagumu kutoa pesa,lengo la kampuni yangu ni kuzoa taka majumbani hapa mbeya,hembu nipeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, naomba yeyote mwenye andiko linalotoa mwongozo wa kuandaa muswada wa kitabu (book proposal) Ahsante kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
677 Views
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Korogwe Teachers Training College Diploma in Education 1989 1990 DIPLOMA - Curriculum Development and Programme Planning 1989...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wanajamiiforums.....Kwa wale waliochelewa kujiunga masomo ya masters na Postgraduate Diploma UDSM na vyuo vingine ni nafasi yako sasa kusoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Masomo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuanzia Nidham hdi taaluma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
matokeo kidato cha pili ya metoka.ila tatzo kubwa linalojitokeza kwasasa ni njinsi waziri wa elimu na naibu wake na taasis ya elmu inayokuwa awaelewani waziri wa elimu (mh shukuru kawambwa)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Yaani ndugu zangu watanzania yatakamoyo kuisapoti hii wizara, mwenzenu cheti cha form four kimeibiwa, sasa nilipoenda baraza la mitihani wakaniambia nikiatanze kwenye magazetii ya serikali yaani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa kujua shule za sec zinazojihusisha na michezo. Nina mtoto anaingia form two anapenda sana michezo na kichwani so you sharp sana. Ningependa nimkuze kimichezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi nchi hii ya Tanzania ni madudu gani tunayafanya katika elimu. Kwanin serikali inacheza na elimu kwa watoto wetu kiasi hiki? Kidato cha pili kwenda kidato cha tatu eti ni wastani wa 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Full Scholarships: Africa 2014/2015
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elimu yetu imekua chini maana tumeshindwa kuwapa wataalamu wakaipika idara hii,mtaani mashabiki wamekua wengi na kila mtu ni mtaalamu wa elimu,mbona haziingiliwi Idara zingine kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
actuarial science ni masomo yanayohusiana na nini
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…