Habari zenu wana jukwaa!
leo tutoke kitofauti kidogo! tutazame hasa nini sabau hasa ya ongezeko kubwa la watoto wetu kufeli mitihani yao ngazi tofauti tofauti katika elimu?
wana jf, kuna sababu...
Mimi ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 22, natoka ktk familia ya kawaida ya kitanzania, ninasoma kdt cha 6 mchepuo wa PCM. Ninatamani sana kusoma kozi ya 'aeronautics'.
Nilifuatilia kozi...
Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa...
Hivi karibuni kumekua na ombwe la kuajiri walimu toka nchi jirani ya kenya katika shule binafsi kwa mantiki ya kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha.
Shule hizi zimekua zikiwapa ajira walimu...
Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo mbozi S/M IPANZYA,natafuta anayefundisha wilaya ya MUFINDI IRINGA sehemu yoyote aliye tayari anipigie 0755814442
Nimejaribu kupitia articles chache zikiwemo hizi za Josephat M. Rugemalira, Line Kjølstad Gran, E Sa, Casmir M. Rubagumya, na nyingine kadhaa, lakini nikaoanisha na tunayoshuhudia katika ulimwengu...
Kuna tetesi zimeenea ya kwamba, serekali imesema kuwa wanafunzi wote watakaofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka huu, waruhusiwe kuingia kidato cha tatu huku wakipewa kozi maalum kwa ajili ya...
Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu.
Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university
Sera ya waziri mkuu wa Malaysia ilikuwa nzuri hususan katika mandhari ya Malaysia,mpaka kufikia anatangaza mpango wake huo wa kuikomboa nchi yake kimaendeleo,utafiti umefanywa wa kutosha,jopo la...
Wadau mimi nimeshangazwa sana kitendo cha Dr kikwete kumtoa Mulugo na kumuacha kawambwa! Hivi Mulugo si alikuwa anamsaidia kawambwa au sijui maana ya naibu waziri? Mbona nyalandu apande cheo...
Ndugu wanaJF naombeni tafsiri ya swali hii na mniambie linahitaji nini,
"It suffices to argue that the era of industrial revolution in Europe especially Britain was a prosperous one among the...
SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA
KUWA RAISI 2015, HIZI NDIZO SIFA
ZAKE
Niliwahi kutoa ahadi kuwa nitaweka
sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi
naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa...